Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa.
kama tujuavyo,
bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano yao inadorora kadiri michango ya kwenye kibakuli inavyopungua huku ruzuku kidunchu wanayopata ikiwa haitoshi kitu kabisa.
Na kwasasa ruzuku hiyo imezuiwa kwasababu ya uongozi batili wa Chadema ngazi ya Taifa.
Baada ya uchaguzi mkuu, kwasababu hawatakua na ruzuku tena na wananchi wamewachoka na kuona wanachanga pesa ambazo haieleweki zinafanya nini, ni wazi chadema itakua mahututi kisiasa wakati huo CHAUMA ikishika hatamu za chama kikuu cha upinzani Tanzania.
Mmaoni gani my friends, ladies and gentlemen?🐒
Mungu Ibariki Tanzania