Mayweather ampa kiburi cha fedha McGregor

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Maisha ya bondia Conor McGregor yamebadilika kabisa kwa sasa toka alivyopigana na Mmarekani Floyd Mayweather katika pambano la kihistoria na lililoingiza fedha nyingi.

Gregor amekuwa akiishi maisha ya kifahari na ya gharama tangu alipotengeneza mkwanja mnene wa paundi milioni 100 ( zaidi ya bilioni 300 za kitanzania kwa pambano la ngumi moja tu) kutoka katika pambano lake, ambapo hapo jana siku ya Jumatatu amekodisha ukumbi wa starehe wa Funderland amusement park kwaajili ya kufurahi yeye, familia yake na marafiki zake huku akionekana kuvalia vazi lenyethamani ya paundi 1,785(zaidi ya milioni 5 za kitanzania).

Eneo hilo ambalo ni maarufu na linalovutia watu wengi kwa matembezi hasa nyakati za kipindi cha baridi bingwa huyo wa UFC na anayetambulika kama mwanamichezo anayependwa na mfano wa kuigwa nchini kwao Ireland alilikodisha kwaajili ya matanuzi.

“Nimeufungua usiku huu wa Funderland kwaajili ya familia na marafiki zangu kusherehekea kwa pamoja ‘fresh January Monday’,” amesema mwanamasumbwi huyo mwenye umri wa miaka 29.

47EE10EF00000578-0-image-a-48_1515490000033-1-600x399.jpg

47EE10F300000578-0-image-a-52_1515490023047-600x403.jpg
 
Dah hii ni 1/3 ya kishika uchumba cha makinikia, jamaa kaipata kwa kuchapana ngumi mbili tatu, chini ya saa mbili.
Wakati wale jamaa wamakinikia walikaa miezi ya kutosha kujadiliana hadi kufikia makubaliano. Bora serikali itengeneze timu ya mabondia wa kutosha wakachapane na Mayweather.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ya bondia Conor McGregor yamebadilika kabisa kwa sasa toka alivyopigana na Mmarekani Floyd Mayweather katika pambano la kihistoria na lililoingiza fedha nyingi.

Gregor amekuwa akiishi maisha ya kifahari na ya gharama tangu alipotengeneza mkwanja mnene wa paundi milioni 100 ( zaidi ya bilioni 300 za kitanzania kwa pambano la ngumi moja tu) kutoka katika pambano lake, ambapo hapo jana siku ya Jumatatu amekodisha ukumbi wa starehe wa Funderland amusement park kwaajili ya kufurahi yeye, familia yake na marafiki zake huku akionekana kuvalia vazi lenyethamani ya paundi 1,785(zaidi ya milioni 5 za kitanzania).

Eneo hilo ambalo ni maarufu na linalovutia watu wengi kwa matembezi hasa nyakati za kipindi cha baridi bingwa huyo wa UFC na anayetambulika kama mwanamichezo anayependwa na mfano wa kuigwa nchini kwao Ireland alilikodisha kwaajili ya matanuzi.

“Nimeufungua usiku huu wa Funderland kwaajili ya familia na marafiki zangu kusherehekea kwa pamoja ‘fresh January Monday’,” amesema mwanamasumbwi huyo mwenye umri wa miaka 29.

View attachment 672590

View attachment 672591
Ila kapigwa
 
Dah hii ni 1/3 ya kishika uchumba cha makinikia, jamaa kaipata kwa kuchapana ngumi mbili tatu, chini ya saa mbili.
Wakati wale jamaa wamakinikia walikaa miezi ya kutosha kujadiliana hadi kufikia makubaliano. Bora serikali itengeneze timu ya mabondia wa kutosha wakachapane na Mayweather.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12]
 
Niko tayari kupigana na maywether hata anivunje mbavu au anivunje taya ila nipige mpunga wa kueleweka.
Hahahaha machungu unaenda kuyapoozea visiwa vya hispania huko kwemye mahoteli ya kifahari unaenda kula raha kama mwezi mzima hivi halafu ndo.utafakari mengine ya kufanya
 
Back
Top Bottom