Mayweather ampiga McGregor kwa T.K.O....

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
249
Reaction score
86
Mayweather ameendelea kuhidhirisha ubabe wake baada ya kumpiga McGregor kwa T.K.O katika round ya kumi........
Round 1:McGregor anarusha ngumi kwa kasi na kumpeleka Mayweather kwenye
kamba na mpaka mwisho wa round hii McGregor anaoongoza kwa points
Round 2:McGregor anapewa onyo kwa kumpiga Mayweather kichwani upande wa
nyuma kitu ambacho hakiruhusiwi kwenye boxing...
Round 3:McGregor anaendeleza ubabe wa kurusha ngumi na kujipatia points nyingi
kuliko mayweather na roundi hii pia anaonekana kuongoza...
Round 4:Mayweather anaonekana akirejea kwenye fomu baada ya kurusha na kumpa-
ta mpinzani wake hivyo kupata points zaidi ukilinganisha na round zilizopita
Round 5:McGregor anaonekana kaanza kuchoka maana speed yake imepungua..na
anaonekana kuishiwa pumzi na Mayweather anatumia vizuri mapungufu
hayo......
Round 6:Mayweather sasa anakuja kwa kasi ya ajabu..na kurusha makombora yanayo
mpata McGregor ambae anaonekana kuchoka ..maana round hii Mayweather
ana-Attack tu ...mashabiki wanajribu kupiga kelele ili kuamsha morali kwa
McGregor lakini bado McGregor anaonekana kushindwa...
Round 7:Mayweather anaendeleza mashambulizi yake kwa kasi kama kawaida...
Round 8:Mayweather kammiliki kabisa mpinzani wake ambae anaonekana kuchoka
Round 9:Hapa kila mtazamaji naona anaona kabisa jinsi McGregor alivyochoka
na kila mtu anawasiwasi kama McGregor atamaliza round zote...
Round 10:Mayweather anarusha makombora mengi bila McGregor kujibu na anao-
nekana kuzidiwa kabisaa ndipo refa anapoamua kuingilia kati na kuamua
pambano liishe..

Mayweather aendeleza rekodi yake ya kutokupigwa yaani (50-0)....
 
Mtu ' kabobea ' katika ' mateke ' kwa miaka mingi leo unamwambia aje arushe ngumi unategemea kutakuwa na jipya hapo au hata Yeye kushinda?
 
Myweather won against McGregor.

In other news, the sky is blue!

- KANA -
 
Mkuu utanifurahisha zaidi ukiweka video mana niko huku koromije navuna mahindi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MYWEATHER ANAPGANA NA WATU LAINI. SASA MPGANAJI WA MATEKE UNAMWAMBIA APGANE NA MPGANAJ WA NGUMI KWENYE PAMBANO LA NGUMI NANI ATASHNDA? MNGEWAAMBIA WAPGANE MATEKE TUONE.

NI HERI HATA ANGEPGANA NA CHEKA
 
MYWEATHER ANAPGANA NA WATU LAINI. SASA MPGANAJI WA MATEKE UNAMWAMBIA APGANE NA MPGANAJ WA NGUMI KWENYE PAMBANO LA NGUMI NANI ATASHNDA? MNGEWAAMBIA WAPGANE MATEKE TUONE.

NI HERI HATA ANGEPGANA NA CHEKA
Mkuu rejea nani aliyeomba pambano? Au ulitaka Floyd akatae pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…