Ni sawa na wachezaji wa Golden state Warriors uwaambie wacheze na Real Madrid kwenye mpira wa miguu!MYWEATHER ANAPGANA NA WATU LAINI. SASA MPGANAJI WA MATEKE UNAMWAMBIA APGANE NA MPGANAJ WA NGUMI KWENYE PAMBANO LA NGUMI NANI ATASHNDA? MNGEWAAMBIA WAPGANE MATEKE TUONE.
NI HERI HATA ANGEPGANA NA CHEKA
kama angeshinda gregor angelisemaje?Kick boxer unampambanisha na boxer brother Mshana.Biashara ndio imeshafanyika hivyo.
Ni T.K.O mkuu maana tofauti kati ya T.K.O na K.O kwa kifupi ni kuwa...Ule ni ushindi wa TKO au KO?
Asante mkuu kwa kuleta video....
mambo ya kaseba na chekaKick boxer unampambanisha na boxer brother Mshana.Biashara ndio imeshafanyika hivyo.
Mkuu, lakini kama ni mfuatiliaji wa MMA, conor ni mtu ambaye hatumii sana mateke ktk mapambano yake so Theory yako haijakaa sawaMtu ' kabobea ' katika ' mateke ' kwa miaka mingi leo unamwambia aje arushe ngumi unategemea kutakuwa na jipya hapo au hata Yeye kushinda?
Yap, sema huwa kana stamina sana kakiwa mma, hakaendi chini kirahisi. Mayweather akijichanganya kupanda naye octagon hamalizi round hata 1Mkuu, lakini kama ni mfuatiliaji wa MMA, conor ni mtu ambaye hatumii sana mateke ktk mapambano yake so Theory yako haijakaa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Full usanii, i wish hawa malaya wa ndondi wakutane na chuma Lenox Lewis.anyway hela imepigwa huyo mu-irish kapewa chake sasa anakula batamliolipa pay per view Polee.Ndondi zilikuwa za akina Tyson hawa mabishoo wanacheza tu
Eti watu wanatoa kabisa hela zao kuangalia maigizo ya hao masharobaro,Full usanii, i wish hawa malaya wa ndondi wakutane na chuma Lenox Lewis.anyway hela imepigwa huyo mu-irish kapewa chake sasa anakula batamliolipa pay per view Polee.