Mayweather ampiga McGregor kwa T.K.O....

Mayweather ampiga McGregor kwa T.K.O....

MYWEATHER ANAPGANA NA WATU LAINI. SASA MPGANAJI WA MATEKE UNAMWAMBIA APGANE NA MPGANAJ WA NGUMI KWENYE PAMBANO LA NGUMI NANI ATASHNDA? MNGEWAAMBIA WAPGANE MATEKE TUONE.

NI HERI HATA ANGEPGANA NA CHEKA
Ni sawa na wachezaji wa Golden state Warriors uwaambie wacheze na Real Madrid kwenye mpira wa miguu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule ni ushindi wa TKO au KO?
Ni T.K.O mkuu maana tofauti kati ya T.K.O na K.O kwa kifupi ni kuwa...
T.K.O..:
hapa mtu anaweza asiende chini lakini kutokana na kutokujibu mapigo kwa muda mrefu(yaani awe anashambuliwa tu bila kujibu na kuonesha dhahiri kuwa ameshindwa)...basi refa huweza kumaliza pambano
na ndipo inapohesabika kama Technical Knock-Out

K.O..:
Mara nyingi hii aliyepigwa anakuwa yupo chini hivyo refa humuhesabia mpaka kumi ..akishindwa kuamka basi anakuwa kapigwa Knock-Out...

NB:Nipo tayari kurekebishwa wakuu....
 
204312d19776f5d82d5b21c69aa817c8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndondi zilikuwa za akina Tyson hawa mabishoo wanacheza tu
Full usanii, i wish hawa malaya wa ndondi wakutane na chuma Lenox Lewis.anyway hela imepigwa huyo mu-irish kapewa chake sasa anakula batamliolipa pay per view Polee.
 
Full usanii, i wish hawa malaya wa ndondi wakutane na chuma Lenox Lewis.anyway hela imepigwa huyo mu-irish kapewa chake sasa anakula batamliolipa pay per view Polee.
Eti watu wanatoa kabisa hela zao kuangalia maigizo ya hao masharobaro,
Upunguani kabisa huu
 
Back
Top Bottom