Mayweather amwaga dola milioni 1 mbele ya hasimu wake McGregor

Mayweather amwaga dola milioni 1 mbele ya hasimu wake McGregor

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299


Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wamekutana tena, mara hii wakikutana New York, ambapo tambo na majigambo vilichukua nafasi baina yao huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi katika pambano lao litakalopigwa August 26.

Moja ya matukio yaliyovuta hisia za mashabiki wao ni kitendo cha Mayweather kumtupia mpinzani wake McGregor kiasi kikubwa cha fedha.

Pambano la Conor McGregor vs Floyd Mayweather litapigwa 26 August, T-Mobile Arena, Las Vegas, Marekani

Chanzo:
Millard Ayo
 

Attachments

  • upload_2017-7-14_14-48-12.png
    upload_2017-7-14_14-48-12.png
    104.1 KB · Views: 62
Hivi hizo hela wanazorushaga kwa strippers huwa ni hela kweli?

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wengine hela huwa zinawapiga kichwani kuwatuliza.
Wengine huwa zinawapiga makalioni (sorry)
Ni msemo tu huu lakini una ukweli
 
Huyu Mayweather si alistaafu huyu?

Au ndiyo kama wale wageni wanaaga kwa haraka, lakini akisikia harufu ya chakula kinapikwa anaahirisha ahirisha kwanza mpaka ale?
 
Back
Top Bottom