Sasa njoo na wewe uolewe nikupe hiyo helaMayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018.
Pambano hili litatumia dakika 9 tu.View attachment 982124
Sent using Jamii Forums mobile app
Record yake hiyo kwenye michezo mingine, sijui kwenye dondi itakuwaje.huyo dogo jinsi alivyokaa kiboya boya hata mimi ningemchakaza