Mayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018

Mayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,372
Mayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018.
Pambano hili litatumia dakika 9 tu.
IMG_20181231_174934_921.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waandaaji hawapo fair yaan dogo wa miaka 20 azipige na Mayweather wa 41??
Dogo nae atakuja kufa...
Dkk 2 tu kala KO.
 
huyo dogo jinsi alivyokaa kiboya boya hata mimi ningemchakaza
 
Hakyanani, af mi niko hapa nahaha na ada ya 3m
nyeee!
 
Back
Top Bottom