BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Acha povu, toa mfano Mzee?MARA NYINGI MATUMIZI YA HIVI HUWA NA MWISHO MBAYA KWA MHUSIKA.SIDHANI KAMA BILL GATES ANAFANYA HAYA.
AFU ANASAHAU KUWA KUWA UZEE AMBAPO HATAWEZA KUPANDA ULINGONI TENA.
Kwani Ulikuwa unamsaidia Kupigana Ulingoni.. mwache Ale Vya Kwake na Wewe tafuta VyakoMARA NYINGI MATUMIZI YA HIVI HUWA NA MWISHO MBAYA KWA MHUSIKA.SIDHANI KAMA BILL GATES ANAFANYA HAYA.
AFU ANASAHAU KUWA KUWA UZEE AMBAPO HATAWEZA KUPANDA ULINGONI TENA.
Mike TysonAcha povu, toa mfano Mzee?
Maneno ya Mkosaji...Huwa hawadumu ktk utajir washamba wa pesa
Maneno ya Mkosaji...
Mkuu naomba kama una specification za Bugatti niwekee hapaMe nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
mkuu usiseme hawafanyi unakosea sema matumizi yanatofautiana tuuMbona kina Bill Gates hawafanyi haya mambo
Aliye kuambia 50 cent kafilisika ni nani?Hata 50 cent na tyson walitetewa hivyo hivyo mwisho wakaanza kuuza majumba haikusaidia
pia mi sijakosa nna hela ya kunitosha mm na familia yangu na ela ya mafuta na service ya gar langu maisha yanasonga ila sina za maonyesho ambazo ukifulia unaingia uvunguni
Yaani ukitaka kumiliki vitu vizuri basi lazima ujipange kuvitunza na hii inadhihirishwa na Mwanamasumbwi, Floyd Mayweather ambaye ni moja ya wanamichezo wanaomiliki magari ya kifahari duniani.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu anayemuuzia magari ya kifahari Mayweather aitwaye Obi Okeke kupitia mtandao wa TMZ amesema Mayweather anatumia dola $25,000 ambayo ni sawa na Tsh milioni 56 kila mwezi kubadilisha oil ya gari lake moja aina ya Bugatti Veyron.
Okeke amesema gari hiyo ambayo ndio gari yake ya thamani zaidi amelinunua kwa Dola milioni 3.3 sawa na Tsh bilioni 7 .
Mwezi Januari mwaka huu Mayweather alitumia zaidi ya milioni 100 kufanyia matengenezo Bugatti yake.
View attachment 694716
Black America wana kamsemo kamoja kakidwanzi sana nilimsikiaga Kanye west akikasema kwenye wimbo fulani.Juzijuzi nimewasikia Migos wakikatumia tena kanasemaNdio akili za kiafrika.
Angekua bilgates ni mtu mweusi nadhani hata kuja Tanzania asingekuja. Watu weusi tuna matatizo ya akili na IQ ndogo.
Mtu mweusi akipata pesa anafikiria starehe na umaarufu, bilgates hatujawahi kusikia anafanya huo ujinga