Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hivi myweather ni wa kashozi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo njemba ina financial advisors,MARA NYINGI MATUMIZI YA HIVI HUWA NA MWISHO MBAYA KWA MHUSIKA.SIDHANI KAMA BILL GATES ANAFANYA HAYA.
AFU ANASAHAU KUWA KUWA UZEE AMBAPO HATAWEZA KUPANDA ULINGONI TENA.
Hivyo ni vyema kuspendNinaomba nikumbushe watu kuwa.....
Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Ni kweli niko bara la giza nikiwa na fikra huru sio za kitumwa na siutukuzi uzungu najivunia kuzaliwa afrikaWewe ndio una akili ya kimaskini,Atafute ela yeye wewe ambae upo huku bara la giza unashea maji ya kunywa na wanyama unakua kama unampangia afanye nin na ela zake
Ni kweli niko bara la giza nikiwa na fikra huru sio za kitumwa na siutukuzi uzungu najivunia kuzaliwa afrika
Siwezi kujaribu kuwaza kumpangia floyd matumizi kwa kuwa hata wazazi tu walionisomesha au kunitafutia kazi hawana uwezo wa kunipangia matumizi ya pesa zangu
Niko huru na nna uwezo wa ku manage kipato changu
kwa mtu mwenye akili ya kimaskini kama floyd miaka 20 baadae atakuwa maskini tu kwa kuwa ana roho ya kimaskini utajiri sio saizi yake
Nadhani mi nitakuwa levo nyingine sana wakati huo
hivi hawa wakoje kufedha nowHata 50 cent na tyson walitetewa hivyo hivyo mwisho wakaanza kuuza majumba haikusaidia
pia mi sijakosa nna hela ya kunitosha mm na familia yangu na ela ya mafuta na service ya gar langu maisha yanasonga ila sina za maonyesho ambazo ukifulia unaingia uvunguni
unaanza matusi. Nitakupitia Mwanza uje useme sentensi hiyoHivi myweather ni wa kashozi??
African Americans,and Africans ni changamoto saana. kwa sababu ya kutawaliwa na kudharauliwa na wazungu tumekuwa malimbukeni pindi tupatapo pesa.huyu dogo yawezekana kabisaaa wafanyakazi wa ndani woote ni wazungu kisa anawakomoa wazungu wanapiga pesa maisha yanasonga......na pesa inayotumika tu bila kujazilishwa huisha amuulize tyson yupo wapi sasaMe nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Kaulize yule 50 cent wa 2003 hadi 2006 na wasasa kisha urudi hapa.Aliye kuambia 50 cent kafilisika ni nani?
Bill Gates ndiye anatoa leseni ya kufanya services magari?Mbona kina Bill Gates hawafanyi haya mambo
Nani kakuambia Tyson hana fedha?Mike Tyson
Mpaka Bill Gates atumie ndio na yeye anaruhusiwa Kutumia?Hivi na Billgate anamatumizi kama yake..?
Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
oooh karibu bojoooounaanza matusi. Nitakupitia Mwanza uje useme sentensi hiyo
Acha fix kawa danganye jamaa zako wa kijiwe cha kahawa..Kaulize yule 50 cent wa 2003 hadi 2006 na wasasa kisha urudi hapa.
Hata 50 cent na tyson walitetewa hivyo hivyo mwisho wakaanza kuuza majumba haikusaidia
pia mi sijakosa nna hela ya kunitosha mm na familia yangu na ela ya mafuta na service ya gar langu maisha yanasonga ila sina za maonyesho ambazo ukifulia unaingia uvunguni