last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
We bilgate matumizi yake unayajua lkini. ...Au unafikiri anashindia ugali tembele,Mtu usafiri anaotumia Mara kwa Mara ni ndege tena yake binafsi sasa ukiambia na yeye akimwaga oil kwenye ndege ni sh.ngapi? sijui utaanza kusema mitume hawakuishi hivyo,acha mtu atumie pesa yake aliyoipigania bna,ndo maisha ya ndoto zake hayoNdio akili za kiafrika.
Angekua bilgates ni mtu mweusi nadhani hata kuja Tanzania asingekuja. Watu weusi tuna matatizo ya akili na IQ ndogo.
Mtu mweusi akipata pesa anafikiria starehe na umaarufu, bilgates hatujawahi kusikia anafanya huo ujinga
Service kama mayweather...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata 50 cent na tyson walitetewa hivyo hivyo mwisho wakaanza kuuza majumba haikusaidia
pia mi sijakosa nna hela ya kunitosha mm na familia yangu na ela ya mafuta na service ya gar langu maisha yanasonga ila sina za maonyesho ambazo ukifulia unaingia uvunguni
anatumia kutokana na pesa aliyonayo....unataka ajibane akifa wafaidi wengine? mwache ale matunda ya jasho lake.....halafu maisha hayana formula kuna mcheza tennis anaitwa boris becker aliinvest pesa yake kwenye oilcompany dola biliion moja ikazama sasa hivi ni masikini wa kutupwaNi kweli niko bara la giza nikiwa na fikra huru sio za kitumwa na siutukuzi uzungu najivunia kuzaliwa afrika
Siwezi kujaribu kuwaza kumpangia floyd matumizi kwa kuwa hata wazazi tu walionisomesha au kunitafutia kazi hawana uwezo wa kunipangia matumizi ya pesa zangu
Niko huru na nna uwezo wa ku manage kipato changu
kwa mtu mwenye akili ya kimaskini kama floyd miaka 20 baadae atakuwa maskini tu kwa kuwa ana roho ya kimaskini utajiri sio saizi yake
Nadhani mi nitakuwa levo nyingine sana wakati huo
Lakini c o dhambi kuwa navyo!!Ninaomba nikumbushe watu kuwa.....
Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Acheni ukuda bhana! Kwa hiyo mnataka mtu uwe milionea halafu uishi kimaskini? Sasa hizo pesa unatafuta za nini?Mayweather pesa kidogo tu majigambo na tambo kibao. Zuckerberg bilionea lakin tisheti kila siku hio hio
Ujanja bila pesa ni Ushamba pia.Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Sawa jambazi bado tajir Ila uwe unatuliza akili kujibu post usijibu kwa mihemko na kufurahisha watu kuwa makini.Acha fix kawa danganye jamaa zako wa kijiwe cha kahawa..
Hiyo ya maonesho ndo mana anapigwaService kama mayweather...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha fix kawa danganye jamaa zako wa kijiwe cha kahawa..
Wee jamaa bado inaonekana mambo mengi sana huyajui..Nyie madogo mpo jf kibahati mbaya wakubwa tunapoongea mambo hatunaga utani.
Rapper 50 Cent baada ya kutawala kwenye vichwa vya habari kuhusu kufirisika kwake na mali alizonazo hivi sasa hati yake inayoonyesha kufirisika kwake imepatikana.
Hati hiyo ya ufirisi imepatikana na kutupiwa online na Daily mail ikiwa inaonyeshwa thamani na kiasi cha pesa alichonacho.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 40 aliandikiwa jarada la ufirisi mwezi juni ambapo kulitokana na kushindwa kumlipa Lastonia Leviston $7 milion
Wee jamaa bado inaonekana mambo mengi sana huyajui..
50 cent alitangaza kufilisika ili kukwepa kumlipa huyu demu hzo hela..