Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hahaaaa.. Mkuu punguza jazba. Mi mwenyewe nimeelewa na ndio maana nimeshangaa. Antony Joshua na li mwili lote akapigane na Mayweather kweli.? Hapo umepuyanga mzeeWe kichwa ngumu hans kaelewa fuatilia jibu hapo juu mkuu umepiga cha arusha nn
Ulikuwa chaka mkuu lazima ukubaliHahaaaa.. Mkuu punguza jazba. Mi mwenyewe nimeelewa na ndio maana nimeshangaa. Antony Joshua na li mwili lote akapigane na Mayweather kweli.? Hapo umepuyanga mzee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] usipanic brother
Jokes tu
Wewe ndio umeenda chaka. Mayweather hawezi kupigana na Antony Joshua. Na ndio maana nikakwambia rudi kwenye mpira tena wa miguu huu mchezo acha kuufatiliaUlikuwa chaka mkuu lazima ukubali
Wewe ndio umeenda chaka. Mayweather hawezi kupigana na Antony Joshua. Na ndio maana nikakwambia rudi kwenye mpira tena wa miguu huu mchezo acha kuufatilia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wewe ndio umeenda chaka. Mayweather hawezi kupigana na Antony Joshua. Na ndio maana nikakwambia rudi kwenye mpira tena wa miguu huu mchezo acha kuufatilia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hana hela. Na net worth ya $650m. The richest athlete in world. Acha kuongeaongeahu
huyu jamaa ni mjinga sana, ana represent black race vibaya sana, ana hela lakini hana akili, na wazungu huwa wanaamini waafrica wote tuna akili kama za huyu jamaa. jinga jinga sana.
Hahahaaa.. Ila ni msaada nilikua nakupa ulikua unaenda kuaibika vibaya mnoo. Samahani kwa kukukwaza ila nilikua na lengo la kukuokoa mkuu.Mtu anauliza kwa nini hawapigani unamwambia rudi kwenye mpira we kichwani zimo kweli???? Huo mpira nilizaliwa naujua kukaa kimya ni busara sio kila kitu unakijua wewe
Hahahaaa.. Ila ni msaada nilikua nakupa ulikua unaenda kuaibika vibaya mnoo. Samahani kwa kukukwaza ila nilikua na lengo la kukuokoa mkuu.
Pole sana. Mechi yenu ya UEFA mnacheza lini mkuu.?
Hahahaaa mkuu kweli nimekuvuruga.. Mimi nimeshangaa Mayweather hawezi kugombana na Antony Joshua kwa sababu wana weight tofauti. Ye Hance katoa majibu ya moja kwa moja.Sio wa kuabika mm nina wasiwasi kichwa box mkuu wewe narudia tena fuatilia majibu ya hanc ujione na wewe ulivyocoment kishamba as if kila kitu wajua vile nimeachana na mpira nipo hapa kwa sasa uefa haina maana tena
Mtu anauliza kwa nini hawapigani unamwambia rudi kwenye mpira we kichwani zimo kweli???? Huo mpira nilizaliwa naujua kukaa kimya ni busara sio kila kitu unakijua wewe
Yaishe mkuu radika. Njoo blaugrana, na tuachane na hicho kIGAY cha trump.
Pumba hii hivi unajua majvuno na kauli za dharau za ali kwa wapinzan wake kpnd cha ujana wake uyo mayweather ata robo haingiiMayweather ni sawa sawa na Cr7 na Neema kazi kujisifu tu.
King Messi =Mohamed Ali.
Mayweather huwa hana maneno ya shombo kwa wapinzani wake.Pumba hii hivi unajua majvuno na kauli za dharau za ali kwa wapinzan wake kpnd cha ujana wake uyo mayweather ata robo haingii
Au akacheze bikoFuatilia michezo mingine tu ,si lazima wote tufatilie boxing.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kweli kabisa mkuu.Au akacheze biko
"Licha ya GGG kuwa na ngumi kali na mabondia wachache wanaoweza kumpiga LAKINI GGG huwa anafanya makosa mengi sana anapokuwa ulingoni " By Floyd MayweatherGGG bado mtoto mdogo kwa Foyld kama ameweza kumkalisha mbabe wake "Canelo'' hyo asumbui. Wamuache jamaa ale bata umri umeenda aliyowakalisha wanatosha