Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
waafrica wachache sana huwa wana akili ya kuwekeza mkuu, waliobako akili zao huwa ni kutumbua tu basi, hawafikirii kizazi kijacho. hizo hela za uyo dogo kama angepata mzungu, atawekeza hadi kizazi chake cha nne kitakuwa tajiri...lakini mbongo ni shida tu. angalia Tyson, amefilisika kabisa wakati alikuwa na hela kama uyo dogo, alifika kipindi hadi watoto kapeleka kwenye hifadhi ya jamii, anashindwa kuwatunza......ndio tofauti ya ngozi nyeupe na nyeusi mkuu. shida sana.Ujinga wake nini?