Mayweather kupanda ulingoni kupambana pambano la mwisho dhidi ya GGG

Ujinga wake nini?
waafrica wachache sana huwa wana akili ya kuwekeza mkuu, waliobako akili zao huwa ni kutumbua tu basi, hawafikirii kizazi kijacho. hizo hela za uyo dogo kama angepata mzungu, atawekeza hadi kizazi chake cha nne kitakuwa tajiri...lakini mbongo ni shida tu. angalia Tyson, amefilisika kabisa wakati alikuwa na hela kama uyo dogo, alifika kipindi hadi watoto kapeleka kwenye hifadhi ya jamii, anashindwa kuwatunza......ndio tofauti ya ngozi nyeupe na nyeusi mkuu. shida sana.
 
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).

Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .

Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.

respect
 
Ukweli mayweather ni mtu wa bahati na mjanjamjanja but hana upiganaji wa kuvutia na kiwango
 
Aisee kama vitu hujui bora ukae kimya tu.

Kwanza pesa za Floyd Mayweather wewe zinakuhusu nini?

Uliwahi kumchangia hata pesa za gloves?

Na uhakika gani kama hawekezi kwenye mambo ya muhimu?

Ila kama ulikuwa haujui hakuna bondia yoyoye hapa ulimwenguni anayejua nini maana ya pesa na mjanja kama Floyd Mayweather.

Huwa hapigani pigani tu,bali anapigana kwa malengo na ndio maana alitoka kwa Bob Arum mapema sana na mapambano yake yote yapo chini yake na hata hili la juzi dhidi ya Conor.

Pia Floyd ana vyanzo vingi sana vya mapato ingawaje Kasino analomiliki ndilo linalomletea pesa nyingi zaidi .
 
Atauliwa na glovkin. Ile ni mashine nyingine. Akacheze na na strippers huyo gayweather. Ndondi haziwezi
 
Ukweli mayweather ni mtu wa bahati na mjanjamjanja but hana upiganaji wa kuvutia na kiwango
Akili hauna wewe.

50-0-0 unasema anabahatisha????

GGG mnasema bondia hatari lakini amemshindwa kumpiga hata huyo Canelo na bado kidogo apigwe Knockout na Canelo .

Angalia yale makonde saba ya mfulululizo aliyopigwa GGG yaani kilivhomsaidia ni stamina tu bila hivyo angelamba sakafu.

Lakini huyu huyu Canelo alitandikwa vibaya sana na Floyd nusura afie uwanjani.
 
Bondia mzuri namuangalia kw mambo mengi yanayoleta burudani sio ushindi pekeake but huyu jamaa ukweli anacheza kishamba hana hata mbwembwe mchezoni uwezo wake kwenye foot step na kudensi haupendezi
 
Hujielewi.
 
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).

Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na kamwe hawezi kuvunja kiapo chake .

Pia amedai GGG ni bondia mdogo sana kwake hivyo hawezi kujisumbua kurudi tena ulingoni kupambana naye.

Huyo GGG ajiandaliage jeneza kabisa
 
Mayweather ni bondia ambae sijawahi kumpenda upiganaji wake simchukii, ni bondia mkubwa, kuweka rekodi 50-0. Si kitu kidogo, naona wanamuandama, wanakereka sana na rekodi yake, mayweather nae ni sungura ameona umri umesogea, yasije kumkuta ya tyson au klitschko kwa anthony joshua juzi. Na si dhan kama hiv vibondia wanavyotaka kumpa vitamuweza, mayweather ana mbinu za hali ya juu, kumpiga ni akili zilizopitiliza... Anapaki basii km mourinho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli Floyd ni mjanja sana ulingoni kupoteza mchezo kazi ngumu sana!
 
Aisee kama vitu hujui bora ukae kimya tu.

Kwanza pesa za Floyd Mayweather wewe zinakuhusu nini?

Uliwahi kumchangia hata pesa za gloves?

Na uhakika gani kama hawekezi kwenye mambo ya muhimu?

Ila kama ulikuwa haujui hakuna bondia yoyoye hapa ulimwenguni anayejua nini maana ya pesa na mjanja kama Floyd Mayweather.

Huwa hapigani pigani tu,bali anapigana kwa malengo na ndio maana alitoka kwa Bob Arum mapema sana na mapambano yake yote yapo chini yake na hata hili la juzi dhidi ya Conor.

Pia Floyd ana vyanzo vingi sana vya mapato ingawaje Kasino analomiliki ndilo linalomletea pesa nyingi zaidi .
huwezi kuelewa mkuu, tatizo ni kwamba hauna akili. hata nikikufafanulia kama mtoto wa kindergarten, napoteza muda tu. kichwa sio cha kufuga nywele tu kina kazi nyingine ya kuhifadhi ubongo na kufikiri. ukikosa ubongo kama wewe hata tukueleze vipi hautaelewa.
 
Acha wivu wa kike wewe.

Eti unataka umpangie atumie pesa zake vipi kwani wewe umekuwa mke wake au??

Kingine huyu ndiye boxer anayejua biashara kuliko boxer yoyote yule hapa duniani.
 
Back
Top Bottom