Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa warudiane na pacqiao wakati pacqiao kapigwa na huyo mc Gregor?Wangerudiana na man pacquiao ndio lingekuwa tamu . Lazma angedundwa
Naona watu mnachanganya hapa Mc Gregory ajawah kupambana any proffesional boxing match,na pambano dhidi ya mayweather ndo litakua pambano lake la kwanza la boxing..Sasa warudiane na pacqiao wakati pacqiao kapigwa na huyo mc Gregor?
mkuu hivi unatazama UFC kweli? Mbona uzito wa Mcgregor ni mdogo sana,Brock alikuwa heavyweight ktk UFc......Kuna jamaa flani hivi ndio alimpiga Brock,UFc kuna madaraja kama kwenye boxing,Huyo mcgregor ni mtu pekee aliyempiga brock lesnar kwenye mma,nahisi hiyo august 26 patachimbika hasa
Cain velasquez ndio alimpiga brock kule ufc,nilichanganya habari tu mkuumkuu hivi unatazama UFC kweli? Mbona uzito wa Mcgregor ni mdogo sana,Brock alikuwa heavyweight ktk UFc......Kuna jamaa flani hivi ndio alimpiga Brock,UFc kuna madaraja kama kwenye boxing,
Yah ni Cain,raia wa mexicoCain velasquez ndio alimpiga brock kule ufc,nilichanganya habari tu mkuu
Sent from my LG-D858HK using JamiiForums mobile app
Yeah upo sahihi...ila mzee wake ni raia wa mexico,mama mmarekani,Nakumbuka wakati wa pambano lake na brock,ilikuwa ni kama mexico vs america
Mhhh mkuu sidhan Kama Mac na Brock waliwahi pambana sababu Brock ni heavy weight banaa.Huyo mcgregor ni mtu pekee aliyempiga brock lesnar kwenye mma,nahisi hiyo august 26 patachimbika hasa
Hapo hakuna KO lazima mshindi apatikane kwa points.Ila john lazima awe makini sana DC ana strength moja kubwa ambayo ni wrestling aliyotumia kumshinda rumble johnson..Hiyo tareh 8 DC na john nani anakatwa KO??
Kamaa john umemfatilia vizuri kakomaa sanaa afu anakataa elbow zinaumaa na mateke japo anamiguu myembambaa. DC minguvu ndo inamsaidiagaa japo huwa anachoka mapemaa sanaa. John mwepesi afu anashambulia na kukimbia kimbia. Tafuta pambano lao lililopitaa john alishinda kwa point lakin mziki ulikuwa mkubwaHapo hakuna KO lazima mshindi apatikane kwa points.Ila john lazima awe makini sana DC ana strength moja kubwa ambayo ni wrestling aliyotumia kumshinda rumble johnson..
Nliangalia hilo pambano...wasiwasi wangu ni john kukaa mwaka mzima bila kupambana..Kamaa john umemfatilia vizuri kakomaa sanaa afu anakataa elbow zinaumaa na mateke japo anamiguu myembambaa. DC minguvu ndo inamsaidiagaa japo huwa anachoka mapemaa sanaa. John mwepesi afu anashambulia na kukimbia kimbia. Tafuta pambano lao lililopitaa john alishinda kwa point lakin mziki ulikuwa mkubwa
Nikwelii lakini jamaa huwa yuko vizurii semaa mashadaa nae kazidisha afu sahivi mwili umeongezekaNliangalia hilo pambano...wasiwasi wangu ni john kukaa mwaka mzima bila kupambana..