Maywether ameshakiri kua kuna dalili za anguko lake akitilia mkazo umri wake na urefu wa Mpinzani wake kama bonus zitakazomsaidia Mc gregory kwenye pambano lijalo.
Sifa za Mcbgregory
Kwanza:- McGregory ni Southpaw ( bondia anayetumia mkono wa kushoto).
Maywether ameshaonekana dhaifu kila anapokutana na aina hii ya mabondia.
Akiwemo yule Manny Pacquao(Pacman).
Maywether amekua hawezi kukwepa ngumi za USO(jabs) zinazochomolewa na mabondia wa hivi kama anavyowamudu mabondia wanaotumia right hand.
Pili:- MacGregory ana ngumi NZITO.
hii inamaana kua hata aki-punch jabs ni wazi ngumi za mbavu na mikononi zitampa shida sana maywether kusimama 12 rounds. Referee atakua na kazi ya kuangalia afya ya mpiganaji kama anaweza ku- hold on a bit longer. Hasa kama atamuweka kwenye kona.
Tatu:- urefu wa MacGregor ni bonus nyingine kua atakua hafikiwi kirahisi na makombora ya maywether kwahiyo atakua anayetawala mchezo.
NNE:- but not least Umri wa McGregor bado kijana sana ukilinganisha na "Money maywether". Hivyo Kasi yake katika kushambulia inaweza kumdhohofisha Maywether ambaye anahitaji zaidi ujanja ujanja kwakua kasi yake itakua imepungua kulingana na umri wake.
Sent using
Jamii Forums mobile app