Mayweather Vs. McGregor ni zaidi ya boxing. Usikose

Mayweather Vs. McGregor ni zaidi ya boxing. Usikose

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Trh 27 August 2017 dunia itasimama kwa muda kushuhudia mtifuano wa masumbwi.

MoneyTeam aka weusi team huko kambini ni balaa,snoopydog alitembelea na kumpa shavu mtu wake wa nguvu Mayweather.

The white team ya akina MCGREGORY nao hawapo nyuma, camp ni mazoezi na mikwara mingi.

Sie yetu macho na popcorn tu.

20170815_224436.jpg
20170815_224146.jpg
 
Nimetoka kuangalia pambano lake na paquiao marudio, mayweather hanivutii katika masumbwi hasa style yake ya kupigana me huwa nafagilia style ya pacquiao mzee wa mashambulizi.

Heavy Weight
 
Nimetoka kuangalia pambano lake na paquiao marudio, mayweather hanivutii katika masumbwi hasa style yake ya kupigana me huwa nafagilia style ya pacquiao mzee wa mashambulizi

Heavy Weight
hoja duni kama ubongo wako
 
Maywether ameshakiri kua kuna dalili za anguko lake akitilia mkazo umri wake na urefu wa Mpinzani wake kama bonus zitakazomsaidia Mc gregory kwenye pambano lijalo.

Sifa za Mcbgregory

Kwanza:- McGregory ni Southpaw ( bondia anayetumia mkono wa kushoto).

Maywether ameshaonekana dhaifu kila anapokutana na aina hii ya mabondia.

Akiwemo yule Manny Pacquao(Pacman).
Maywether amekua hawezi kukwepa ngumi za USO(jabs) zinazochomolewa na mabondia wa hivi kama anavyowamudu mabondia wanaotumia right hand.

Pili:- MacGregory ana ngumi NZITO.
hii inamaana kua hata aki-punch jabs ni wazi ngumi za mbavu na mikononi zitampa shida sana maywether kusimama 12 rounds. Referee atakua na kazi ya kuangalia afya ya mpiganaji kama anaweza ku- hold on a bit longer. Hasa kama atamuweka kwenye kona.

Tatu:- urefu wa MacGregor ni bonus nyingine kua atakua hafikiwi kirahisi na makombora ya maywether kwahiyo atakua anayetawala mchezo.

NNE:- but not least Umri wa McGregor bado kijana sana ukilinganisha na "Money maywether". Hivyo Kasi yake katika kushambulia inaweza kumdhohofisha Maywether ambaye anahitaji zaidi ujanja ujanja kwakua kasi yake itakua imepungua kulingana na umri wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Connor vs Money is bad for boxing, is totally mismatch. Caneno vs Tripple G. September 16, ndiyo game ya ukweli.
 
Back
Top Bottom