FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.
Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.
Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.
Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :
Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.
Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.