Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

Though Netanyahu wonโ€™t admit it, ISRAELI journalists write that the over 2,985 ISRAELI soldiers have DIED since October 7th, and 11,600+ have been injured.Israel has walked into a trap.
 
Ila ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.
Yeye nae ana pata mabwana mashababi 72 yenye misuli iliyo tukuka kisha ana tembezewa mkong'oto kama ule anao pewaga Mia Khalifa kwenye zile group some
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜we bibi kua na uelewa hii video unaona kbs ya kutengenezwa tu afu unadanganya
 
Hii clip ya chini, kutokea "Al Jazeera Arabic" inaonesha magari ya siri ya deraya ya mazayuni, waliyotamba kuwa hayapigiki, yakichezea kichapo mpaka kuita helicoper ziwasaidie:

View attachment 2820326
KHAAA UYU BIBI NI MWEHU EEEH
YAANI VIDEO NI CGI ndo una sema ushahidi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
vingine muwe mna wauliza hata wajuu weku akina Alwaz Ritz green rajab wakusaidie kutofautisha Real combat na hizo CGI
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Huyo Abou Obeida mara ya mwisho umesikia sauti yake lini?
 
Tusisikie tena unabweka kwamba mazayuni yanawaonea, sio unaleta propaganda then mnaanza kulia, sisi tunachojua vita itasimamishwa kupisha misaada kuingia huko gaza na si vinginevyo mpaka magaidi muishe.
Hii vita haijawahi kusimama toka 1948, inasitishwa kwa muda tu.

Kumbuka hilo.
 
Wewe umeleta habari za Houthi za mwaka 2022 ๐Ÿ˜‚
 
Video za War Games?๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Watu wanacheza na graphicha baada ya kupata amateur videos au maelezo kutoka front.

Mazayuni hawataki waandishi huko, wanawauwa.
 
Siungi mkono kabisa unyama wa Israel kuua watu zaidi ya 11,000 huko Gaza, wengi wao wakiwa watoto na wanawake.
Ila kwamba Israel kachezea kichapo hiyo ni propaganda na hata clip uliyoweka ni computer generated graphics.

Cha kushangaza waarabu wenzao na Wapalestina wamekaa doro huku mwenzao akila kisago.
Nawasifu Yemen ingalau wameonyesha ujasiri.
 
Wewe ndiyo mwehu, waandishi wa Al jazeera wameuliwa huko, sasa wanapata habari kutoka kwa freelancers wao wanacheza na graphics.

Hii dunia siyo ya wajinga wajinga.
 
Huelewi kinachoendelea, unafikiri pesa hao wapalestina wanazitowa wapi na wao wapo kambi ya mateso miaka yote?
 
Iv hizi habari huwa mnazipata media zipi, kwani mpaka sasa Gaza ipo chini ya Israel. Au kuna Gaza nyingine? Inawezekana wengine tupo Dunia nyingine na hatujitambui
 
Wewe ndiyo mwehu, waandishi wa Al jazeera wameuliwa huko, sasa wanapata habari kutoka kwa freelancers wao wanacheza na graphics.

Hii dunia siyo ya wajinga wajinga.
Sidhani kama hata wewe mwenyewe unaamini unachokiandika!!

Unajitutumua tu hapa lakini deep down unaumia na kichapo mnachopewa na Israel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ