Umekisoma nilichokiandika hujakielewa au hujakisoma kabisa?Hahahaha kuna watu vilaza aisee. Gaza iko chini ya Israel kwasasa na watu wamekufa wa kutosha halafu huyu Bibi wa tandale anasemaje.
Hiyo akili yetu "nusu" wewe hunayo hata chembe, linganisha hapo sasa.Leo nimemuamini Mtume Muhamed alisema Wanawake wa kiislam wana akili nusu na asilimia kubwa wataenda motoni sababu wana patwa hedhi..
Habari ipo ki nusu akili
Hakijaanza leo kichapo kwa Wapalestina, kina miaka 75, sema sasa hivi, kuanzia tarehe 7/10 wameamuwa kama vifo visiwe tena vya rejareja. Jionee vijana wanavyozipiga waziwazi:Pole Faiza kwa bahati mbaya sana kichapo kwa magaidi panyarodi wa hamas bado kipo palepale kinaendelea na kitaendelea aisee ongeza dua maana palestinian wanakufa mnooo.
Acha ubishi kasome bibliaWanaambiwa wagalatia(waturuki),we ni mgalatia/mturuki!?..halafu Paulo anagawaje urithi wa Ibrahim!?
Wagalatia ni waraka wa Paulo kwa wagalatiaAcha ubishi kasome biblia
Japan wamesema meli yaoKimbembe wanachopelekewa si mchezo, Ghaza wanalambwa na Hamas, kule mpakani wanachezea kichapo cha Hizbollah, Tel Aviv nayo kila kona inawaka moto, haikaliki, baharini nako meli imetekwa kikomando, jionee:
++
View attachment 2820787