Mazda Axela anauliza: Kwanini Hamnioni?

Eti Mazda Tako la nyani ndio ipi?
 
Mimi nimeielewa Sana Mazda atenza hii gari ni tamu Sana kimuonekano.
Premio, BMW 3 series,crown,brevis na mark x zimeachwa mbali Sana kwenye design ya nje, Mazda kwenye muonekano Tu Hana mpinzani Kwa magari ya Japan
Kwa kipind kmhichi cha mvua gari ikiwa chini mateso.bora rqv 4 au escudo masawe
 
Kwa kipind kmhichi cha mvua gari ikiwa chini mateso.bora rqv 4 au escudo masawe
Mimi mwenyewe nataka kuuza gari yangu nitafute gari ya juu aisee hii gari inanitesa Sana iwe Kwa hizi barabara za DAR.
Iwe mvua au jua bado napata shida Sana na barabara za vumbi Hadi inafika kipindi huwa naacha gari kama hiyo sehemu ina barabara mbovu
 
Ya nin sasa.mana baad ya mvua hizi hakun barabara imesalimika.ni ma potholes kwa kwenda mbele.afrika gar ni lazim liw juu.
 
Imagine Dar tunateseka hivi. Baadhi ya mikoa je itakuaje?
 
Yaani gari ya chini ni mateso sana. Unakuta sometimes unalaza gari sheli kila siku buku 2.

Ya nin sasa.mana baad ya mvua hizi hakun barabara imesalimika.ni ma potholes kwa kwenda mbele.afrika gar ni lazim liw juu.
Aisee ni mateso Sana nimepaki gari Shelli Kwa kipindi cha mwezi mmoja na Leo ndiyo mara ya Kwanza nimeanza kuja na gari home.
Haya magari ya chini yanapendeza barabarani Tu ila kipindi cha masika ni adhabu
 
Baba mwenye nyumba wangu anayo CX 5 ,kuna siku nilipewa lift aisee ni mkwaju wa maana afu yule mzee anapenda mbio.

Ni hela tu hazijanitembelea ila kwa maisha ya sasa kua na chuma cha maana ni moja ya nyenzo ya kupata deals kubwa ,heshima na starehe.
CX-9 umeiona lakini? [emoji848]
 
Mamake, 30+ milioni inakuhusu. Na hapa ikifika mwezi wa saba laziba CCM kupitia dudu lao TRA waongeze kodi.
TRA wametuonea huruma, ila January 1 lazima.
 
Hiyo first generation ndio imekaa vizuri sana nionavyo mimi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…