makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Jamaa yangu, tumesoma nae o level na boli tumecheza wote, aisee akaniwekea petrol kwenye gari ya diesel.. Japo niliwahi kushituka lakini magonjwa yalianzia hapo nikauza kwa bei chee sana, huku gari nalitamani.Sema Gari za Diesel ni mwanzo wa kulaumiana na wauza mafuta wakiona gari ndogo wanawaza petrol inabidi uwe extra care la sivyo unaingia gharama