makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Jamaa yangu, tumesoma nae o level na boli tumecheza wote, aisee akaniwekea petrol kwenye gari ya diesel.. Japo niliwahi kushituka lakini magonjwa yalianzia hapo nikauza kwa bei chee sana, huku gari nalitamani.Sema Gari za Diesel ni mwanzo wa kulaumiana na wauza mafuta wakiona gari ndogo wanawaza petrol inabidi uwe extra care la sivyo unaingia gharama
Ulimuazima? Mi nimeweka bonge la stika kwa ndani… DIESELJamaa yangu, tumesoma nae o level na boli tumecheza wote, aisee akaniwekea petrol kwenye gari ya diesel.. Japo niliwahi kushituka lakini magonjwa yalianzia hapo nikauza kwa bei chee sana, huku gari nalitamani.
Hapana, alikuwa anafanya kazi hapo, wakati ananiwekea mafuta lile shangwe la kutoonana kitambo, akajikuta kaweka petrolUlimuazima? Mi nimeweka bonge la stika kwa ndani… DIESEL
Tunalishana uongoWabongo wengi bongo zishafungwa kwenye Toyota
mkuu hii mazda axela hatchback shepu yake si kama impreza tu? au nzuri zaidi kati ya hizo mbili? kwanini umekataa engine ya hybrid kwenye Axela? na je Hatchback ya Axela ipo juu kwa hizi barabara zetu? Gharana ya kuagiza na ushuru mpaka Tz ni kiasi gani kwa hiyo generation yako pendwa?Ulimuazima? Mi nimeweka bonge la stika kwa ndani… DIESEL
Unajua pickup ni gari ya kazi, so hapo reliabilty , durability na perfomance yake ikoje