Mazda CX-5: Gari yenye muonekano mzuri sana Interior na Exterior

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
IMG_7948.jpg

IMG_7947.jpg

IMG_7946.jpg

IMG_7942.jpg

IMG_7943.jpg

IMG_7944.jpg
 
Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.

Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.

Hiyo aliyoweka mtoa mada ni 1st generation iliisha mwaka 2016. Ukiwa na tight budget pambania ya mwaka 2016 na 2015 zilifanyiwa facelift moja tamu ndani nje na engine.

Kabla ya Facelift:
1000127472.jpg
1000127473.jpg

Baada ya Facelift:
1000127470.jpg
1000127471.jpg

1000127477.jpg

Ukiwa fresh zaidi chukua 2nd generation kuanzia ya 2017 nilikutana nayo moja mitaa ya Jangwani pale. Aisee. Kali sana.

2nd gen:
1000127476.jpg
1000127475.jpg
 
Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.

Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.

Ni gari nzuri sana.Sijainunua nimeikuta tu mtandaoni tu.

Mimi nimeagiza forester ipo kwa maji nataka nigame Toyota
IMG_8159.jpg
 
Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.

Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.

Muundo wa Dashboad yake upo digital sana umepita gari nyingi huwezi kudhani hio gari ya 2013.
 
Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip...
Kuna jamaa yangu ni business partner , yeye kila sku ananiambia hataki gari nyingine zaidi ya BMW X6 , jamaa amekomaa kabla ya mwez wa 12 awe nayo , daah jamaa anapenda unyama Sana, sa hv ana harrier tako la nyani
 
Maisha haya tafuta lakini usisahau kukata “KIU YAKO”

Kama unapenda kusafiri safiri

Kama unapenda gari yoyote nunua

Hela utaziacha
 
Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.

Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.

Hiyo aliyoweka mtoa mada ni 1st generation iliisha mwaka 2016. Ukiwa na tight budget pambania ya mwaka 2016 na 2015 zilifanyiwa facelift moja tamu ndani nje na engine.

Kabla ya Facelift:
View attachment 2767536View attachment 2767537
Baada ya Facelift:
View attachment 2767538View attachment 2767539
View attachment 2767543
Ukiwa fresh zaidi chukua 2nd generation kuanzia ya 2017 nilikutana nayo moja mitaa ya Jangwani pale. Aisee. Kali sana.

2nd gen:
View attachment 2767540View attachment 2767541

Second generation ni tamu sana.

Ukitaka kuona most recent cars nyingi nenda Nairobi .

Nilikuwepo huko last week .

Gari kali zote recently utaziona ndo nikabahatika kupanda Mazda cx-5 ,

Kenya ile sheria yao ya gari liwe chini ya miaka saba inawasaidia sana.

Tz magari yaliyojaa ni matoleo ya zamani.

Nilijifunza sana kununua gari recent.

Lakini pia kenya pia ukikuta gari imechakaa inakuwa imechakaa kweli watu hawauzi magari maana kununua gari mpya ni ishu
 
Mkuu. Bongo ushuru aisee. Cheki Ushuru wa CX5 2.2 ya 2017
1000127513.png
 
Mkuu. Bongo ushuru aisee. Cheki Ushuru wa CX5 2.2 ya 2017
View attachment 2767571

TRA ni shida japo kodi kwa East Africa hazitofautiani sana.

Kenya wenzetu helayao ipo juu

Tunasema tz kuna rushwa ,sizani kama kuna nchi inarushwa kama kenya. Tz hatuwafikii

Kenya unaweza kwenda bila kitambulisho chochote na usigaguliwe sehem yoyote na hata wakikukamata ukiwapa ksh 500 wanakuachia
 
Back
Top Bottom