Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.
Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.
Hiyo aliyoweka mtoa mada ni 1st generation iliisha mwaka 2016. Ukiwa na tight budget pambania ya mwaka 2016 na 2015 zilifanyiwa facelift moja tamu ndani nje na engine.
Kabla ya Facelift:
View attachment 2767536View attachment 2767537
Baada ya Facelift:
View attachment 2767538View attachment 2767539
View attachment 2767543
Ukiwa fresh zaidi chukua 2nd generation kuanzia ya 2017 nilikutana nayo moja mitaa ya Jangwani pale. Aisee. Kali sana.
2nd gen:
View attachment 2767540View attachment 2767541