ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
TRA ni shida japo kodi kwa East Africa hazitofautiani sana.
Kenya wenzetu helayao ipo juu
Tunasema tz kuna rushwa ,sizani kama kuna nchi inarushwa kama kenya. Tz hatuwafikii
Kenya unaweza kwenda bila kitambulisho chochote na usigaguliwe sehem yoyote na hata wakikukamata ukiwapa ksh 500 wanakuachia
Kitu sijui ni passport sijui ya muda wala kudumu kwa Nairobi hadi maaskari wananifaham kikubwa niwe na Ksh 100/- ya kuwapa na sijawahi ulizwa ID wako poa sana upande wa rushwa hadi mahakamani blockers wapo kesi yako anaomba iwe yake kikubwa umtangazie fungu zuri kingine fine na vifungo nje kwao ni nje nje hasa hizi kesi ndogo ndogo