Mazda CX5 ya mwaka2014 kushuka chini ndo budget yangu

Mazda CX5 ya mwaka2014 kushuka chini ndo budget yangu

1. Rangi ni uchaguzi binafsi. Ila Mazda ina thin layer ya rangi. Kichubuka rahisi sana. Kwahiyo rangi kama nyeusi itakua inaonesha zaidi madoa kuliko grey, silva na nyeupe.

Hapa ningependekeza nyeupe. Ila mengine ni wewe tu

2. Engine: Kama unaagiza kutoka JP naamini 99% itakua diesel, kwahiyo hauna machaguzi. Itabidi uchukue tu 2.2L Skyactiv D. Hauna options.

Unaweza kupata petrol ya 2.0L utaina imeandikwa pale 20S au 2.5L ila zitakua ni adimu na gharama.

3. Kuna packages kadhaa, mfano XD, 20S au Pro-Active. Wewe pambania upate "XD L" hii ndio highest trim.

Vingine nadhani utakua unajua ndio maana ukawa specific unataka CX3 2014.
 
Back
Top Bottom