SHEDEDE
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 339
- 551
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100. Mazda aisee hapana. Nilinunua nikiwa naishi dar ilinilazimu haraka sana kuiuza nilipohamia Singida maana brake pads huku singida ni mtiti...ilinibidi kuwa na-bondKama wewe umeweza kumiliki haimaanishi kua kila mtu ataweza. Kimsingi hakuna gari duniani ambayo haiwezi kutembea popote1 maana ktk dunia ya utandawazi unaweza kupata vipuri hata singapore. Ila tuzungumze ukweli...mazda ni gari ngumu kupata vipuri tena angalau ukiwa nayo dar ila kwa wamikoani aisee mazda siwashauri