Car4Sale Mazda Premancy inauzwa

Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100. Mazda aisee hapana. Nilinunua nikiwa naishi dar ilinilazimu haraka sana kuiuza nilipohamia Singida maana brake pads huku singida ni mtiti...ilinibidi kuwa na-bond
 
Ni mawazo yako ,tu umefungwa na fikra za Toyota ,tunaishi katika dunia nyingine ...mambo ya kukariri yamepitwa na wakati kaka hebu ujiulizi kwa ni i kenya ,uganda , msumbiji wameacha kutumia magari ya toyota sio mengi kwa sasa ,try to think out of box
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Sio mawazo yake bali ameongea ukweli na uhalisia uliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…