Mazda Tribute

Ford zipo nyingi sana izo. Ila ungesema anataka mwaka gani na engine gani. Maana iyo 3.0L ni V6 asijeuliza inatumiaje mafuta.
 
Sio gari mbaya kwa hiyo bei mi naona fresh. Kama vitu vingine iko poa.
 
Hii gari kuna mwamba mmoja namfahu anayo namba D iko juu ya mawe since 2021 ilikua inamsumbua akaachana nayo kavuta prado tx mchaga anadunda nayo. Shida ya engine nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…