Mazda Tribute

Mazda Tribute

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
Mwenye uzoefu na hii gari kuna jamaangu anataka achukue kuna website ameikuta moja kilakitu inakuja mil 16.
Naomba uzoefu niwasilishe
38242A96-292F-44B8-ABF1-9739CC8E14B6.png
DA7BAEB0-987C-494C-9718-5BBC323CE80F.jpeg
6A6BDA81-B4AB-4CAC-A430-F23AF13D045D.jpeg
 
Ford zipo nyingi sana izo. Ila ungesema anataka mwaka gani na engine gani. Maana iyo 3.0L ni V6 asijeuliza inatumiaje mafuta.
 
Sio gari mbaya kwa hiyo bei mi naona fresh. Kama vitu vingine iko poa.
 
Hii gari kuna mwamba mmoja namfahu anayo namba D iko juu ya mawe since 2021 ilikua inamsumbua akaachana nayo kavuta prado tx mchaga anadunda nayo. Shida ya engine nadhani
 
Back
Top Bottom