mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli bana, tuwe waungwana tusijemharbia furaha yake huyu mkuu. Twende tukakae pale chini ya mwembe!
HatutakiBakini tuu.. Nilikua nawapiga mkwara... Kwanza uzi wangu wameu muvuzisha kwingine kabisa.
BULL SHIIIIT....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Nakuangalia tu.Chief ulivyo moyoni nakutukanaje??
Ni sifa hiyo
Ondoa shaka, ni ndugu yangu tunafahamiana!Nyie si mwanamke na mwanaume nyie.... Shauri yenu.....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ha ha haππππππππππππππππ
Cheki tu avatar yangu hapo.... Then nipe marks...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Moja Kati Ya makosa Mbayo utaja kuyafanya ni Pamoja na Hili La Kuamini Maneno ya Wanawake... take care of that, Huyo sio Mama yako ohooooo.....
Khaaaaaaaa..... Mbona mambo mswano tuuu kama ndio hivo!!!!
Akinipiga chini ndio atakua ameni rahisishia kazi sasa, maana sina future naye....
Mie natafuta mwanamke Bikra bana.... Thats my first priority....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Itakua we bado ni mgeni na huwajui wanawake hata kidogo mkuu
Hizo kauli za kawaida sana na inaonesha unaweza kua tricked kirahisi sana na mwanamke
ha ha ha... Kwamba Tangu uanze Relationship hukuwahi kutana na haya maneno Kabla au sio!Sasa mkuu... Ni wakat gani nitaamini mwanamke anasema ukweli ili nimuamini....
Maana juzi kasema hakupata uusingizi kabisa nilipomwambia kuwa nampiga chini...
Mpaka huruma ikaniingia...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Hahaha! Tell the kid. It seems he isnt aware of that!Girls are pathetic liars!
Chief Wewe ni 1:4
Naiona chiefπ π π π π
Mkuu unanitafutia dhahama bureee.... joanah mama unaona hii situation hii.....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Kusifiwa kijinga tu na wewe unakabaliTutaacha kufanyaje..... Kuwachezea madem???
Ndio maana nataka kuacha sasa... Demu kagoma... Kakubali muziki wangu. Kubabake walay
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
I barely see how the guy has been obsessed with such a childish lie, mwanamke anaweza kuwa mtu wa hovyo kuliko anavyoweza dhania! Ngoja alizwe kwanza...Hahaha! Tell the kid. It seems he isnt aware of that!