Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiz akili za kivulana ni shida sana na kwa sababu hiyo sister ameshagundua hujiamini na ndio sababu kaamua kukupa mahope Coz akili bado za kitotoNiaje Wazeiyaaaaaaaaah....
EBANA SAWA:
Mnajua nini??? Mie nina demu wangu... sawa mazee!!
Na huyu demu wangu is that kind of a girl like many other girls are:
"used".
Sasa kama mnavojua msimamo wangu wa:
Sitokuja kuoa mwanamke used kamwe... Labda NIFE.
Na kila kukicha huwa napiga makelele sana humu kuwasihi vijana wenzangu wasioe wanawake used kwani madhara yake ni mengi, mabaya na yanajulikana....
Na kwa kuwa aina ya mwanamke nayemuhitaji mie for real life hapatikani kirahisi rahisi (kama navowapataga mademu wengine akiwamo huyu) nikaona daaah mwanaume nisije nikafa kwa punyeto bureee... Wakat natafuta my future wife (BIKRA) let me hang out with this girl for a while (just for leisure).
Mmeona hapo???????
SASA BASI:
Muda wa kuwa serious umefika sasa... I am tired with this leisure relationship...
Kwanza gharama tuu.. Halafu nakosa freedom kufanya mitkasi yangu kibao...
Na inakua ngumu kupata future wife wakat bado niko kwenye active bond na huyu bibie...
Nafanyeje sasa???? Nampiga chini kila mtu ashike 50 zake ki roho safi kabisaaa...
Juzi Alhamisi usiku nikamtext:
Chief: Jay.... Mi naona relation yetu haina future nzuri... Naona ni bora kila
mtu akawa free... But tutaendelea kupeana support until everyone has moved on...
Bibie: No.. Chief... Sitaki kukupoteza hata kidogo. Nilipokupata nilijua wewe ndio mwanaume
wangu wa mwisho, sitompenda mwingine mpaka nakufa.
Chief: Najua... Lakin mie naona sitoweza.. Mind yangu inakataa kabisa.
Bibie: No plz... Chief nakupenda kuliko watu wote nilowahi kuwa nao. Tusiachane.
Basi alivonitumia hiyo text ya mwisho mwenzenu nimefurahi kinyama...
Mnajua kwanini?????
Demu anapokuambia anakukubali wewe kuliko mashkaji yote yaliyompitia maana yake nini:
1. Mimi nina msugua ipasavyo kuliko huto tushkaji... Anapagawa.
2. Mimi ni handsome kuliko huto tu ex twake.
3. Kiuchumi niko juu compared na huto tujamaa..
4. Kifupi mie niko more romantic yani!!
Yaani mazee nimefurahi kinyama nilivo ambiwa hivo..
Nimezidi kujisikia katika wanaume namie nimo. Nahesabika. Demu kadata. Kapagawa.
Niko juuu...
At least naanza kufikira kubadili uamuzi wangu endapo akiendelea kunisifia namna hiyo.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Kuna ukweli ndani yake, tatizo umuelezea kihuni, sasa sisi wasomi ni mgumu kukuelewa.Niaje Wazeiyaaaaaaaaah....

[emoji23] [emoji23]Tulia wewe... Demu kanikubali kinyama... Kanibembeleza juzi usiku huyooo.....
Ungekuepo ungeni tamania....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ongo hili Jamaa...balaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]we si uliwahi kuja kuomba msaada humu kuwa una tatizo la nguvu za kiume pia ukasema unatoa wazungu ndani ya dk 2, vp umetibu tatizo au?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wajifunze kuweka akiba ya manenowe si uliwahi kuja kuomba msaada humu kuwa una tatizo la nguvu za kiume pia ukasema unatoa wazungu ndani ya dk 2, vp umetibu tatizo au?