Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

Huyo demu ndo tabia zake, before alishawahi kuapa atajiua akiachwa na msela wake. Aisee, kumbe bado yuko. Believe or not " girls are residence seekers while men are looking for appreciation only"
 
Hiz akili za kivulana ni shida sana na kwa sababu hiyo sister ameshagundua hujiamini na ndio sababu kaamua kukupa mahope Coz akili bado za kitoto
 
Kuna ukweli ndani yake, tatizo umuelezea kihuni, sasa sisi wasomi ni mgumu kukuelewa.
 
ha ha ha yaan we chief engineer unaniachaga sana hoi hivi sio muhaya kweli nawaza tu
 
Maisha mafupi,Kifo kipo kinatungoja, na ahadi ya M/mungu kuwa tutalipwa kwa tuliyoyafanya ni ya kweli kabisa.watchout
 
Hahahaa ungemuuliza wanaume wote wangap huenda kamaliza mji kwa hyo anaogopa kurevise mkuu
 
Hata mimi naona raha demu akinidanganya kuliko kunambia ukweli,
Maishe yenyewe mafupi,
mambo ya kupeana stress asubiri nikifa aje ayaseme juu ya kaburi, OVA
 
Siyo kila mwanamke anaelia ukiw kiunoni analia kwa utamu...wengne wanakuonea huruma kwa kufa kizembe.

Hehehee chifu jifunze kuusoma mchezo mapema
 
we si uliwahi kuja kuomba msaada humu kuwa una tatizo la nguvu za kiume pia ukasema unatoa wazungu ndani ya dk 2, vp umetibu tatizo au?
Ongo hili Jamaa...balaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mkuu umeniachia chama peke angu!

Nitaendeleza chama la kuto amini maneno ya wanawake.
24/365
 
Why am I daring to waste minutes in a faeces like this?
 
we si uliwahi kuja kuomba msaada humu kuwa una tatizo la nguvu za kiume pia ukasema unatoa wazungu ndani ya dk 2, vp umetibu tatizo au?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wajifunze kuweka akiba ya maneno
 
Kama hayo yanatoka kunako moyo we ni mduansee yani mduanzeee,duanzi wa top grade jombaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…