Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Yani ndani ya miezi 6 ulikuwa na manzi mmoja dah unahitaji tuzo.

Sio Miezi... Miaka kaka....
Kitabu kilikua kinani weka mbali na madem..
Si unajua tena engineering mzee...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wa kwako including wanaokuhusu wa kike. Hata mama yako yumo. With thanks.

Weweee huo mkwala mbuzi kalipige toto lako lililo nyonya maziwa yako mpaka yameanguka pamebaki kama ndala...
Yaan we unadhan laana ni kitu simple simple tuu...
ACHA UBOYA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Na wa kwako watatukanwa hivyo hivyo. Utajutia maishani mwako. Kila la heri. Kwetu nimelelewa nikaiva. Ukweli nimekuambia.

Wa kwangu?????????
Una maanisha mke wangu, binti yangu au huyu demu wangu wa sasa!!!!!

Maana kama ni mtoto ninae wa kiume na sitarajii kuzaa tena..... Upo hapo...
Haya, kuoa ndio hata sifikiriii itakuja kutokea...
Sasa cjui huyo wa kwangu una maanisha nani sasa..... Au huyu ex-gf!!!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Una mdomoooooo
 
Una mdomoooooo

Dada aliyemuacha huyu Engineer apongezwe. Unamuacha demu halafu unakuja kulialia hapa kuwa unamkumbuka hulali ukimuwaza. Dada wa Morogoro hongera sana uliyempiga kibuti anaweweseka huku JF
 
Dada aliyemuacha huyu Engineer apongezwe. Unamuacha demu halafu unakuja kulialia hapa kuwa unamkumbuka hulali ukimuwaza. Dada wa Morogoro hongera sana uliyempiga kibuti anaweweseka huku JF

Huyu nae cjui katokea chocho gani...
Mimi ndio nilikapiga chini baada ya kukagonga for more than six years... Na mama yake (pamoja na wadogo zake isipokua dingi yao) walikua wanajua fika kabisa kuwa dada yetu anakazwa na engineer...

Mimi ndio nilikapiga chini baada ya kuona kuna vigezo hakaja qualify kuitwa baby mama.

ACHA UBOYA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wewe unaonekana mchokozi sana. Ujue Mungu anakuona
 
Kwani anaomba ajira?
Kujua historia na changamoto alizozipitia na wapenzi wake kutafanya ujue sura yake halisi na jinsi gani ya kuishi nae pamoja na mambo asiyoyapenda yaliyosababisha kuvunjika kwa wapenzi wake wa zamani. Kuliko kumficha na kuja kugundua baadae itakucost na anaweza kupunguza mapenzi, kukuacha na kuchepuka
 
Weweee huo mkwala mbuzi kalipige toto lako lililo nyonya maziwa yako mpaka yameanguka pamebaki kama ndala...
Yaan we unadhan laana ni kitu simple simple tuu...
ACHA UBOYA.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Yamelala kama ya mama yako, bibi yako, Shangazi na Dada zako.
 
Hata wa kiume atakuzalia Malaya, na wajukuu mpaka vilembwekeze. Mungu hadhihakiwi. Tunavuna tunachopanda. Endelea kunitukana utakavyo. Sikuoni, siwezi kukulipiza matusi kwa kuwa nimelelewa ipasavyo. Mungu anakuona na atakulipa stahili yako kwa vizazi vyako. Iko siku utashika tama.
 
Huo mto na taulo vitakua vinajuta kumilikiwa na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…