aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Naomba namba yake mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wa kiume atakuzalia Malaya, na wajukuu mpaka vilembwekeze. Mungu hadhihakiwi. Tunavuna tunachopanda. Endelea kunitukana utakavyo. Sikuoni, siwezi kukulipiza matusi kwa kuwa nimelelewa ipasavyo. Mungu anakuona na atakulipa stahili yako kwa vizazi vyako. Iko siku utashika tama.
Siwezi kukukubali wewe huna staha ya kuweza hata kunisogelea. Yaani hata usimame mita 1000 ni ngumu kunifikia. Kifupi huna hadhi. Keyboard zinatuficha TUU au niseme tumejificha nyuma ya keyboard. Read between lines!!!!!!!NDIO MAANA NAKWAMBIA WEWE NI BOYA....
UMEKUBALI SASA.......
Maana nisije nikakubanjua na wewe buree....
Mie mtu hatari sana.... Ogopa mtu anaeitwa Engineer..... HATARI!!! KAA MBALI.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Siwezi kukukubali wewe huna staha ya kuweza hata kunisogelea. Yaani hata usimame mita 1000 ni ngumu kunifikia. Kifupi huna hadhi. Keyboard zinatuficha TUU au niseme tumejificha nyuma ya keyboard. Read between lines!!!!!!!
Ego mbaya sana. Ukimuacha mtu huhitaji kujieleza sana na kusisitiza kuwa ni wewe ndiye uliyemuacha. Ngoja nimtafute V nimlete hapa aseme mambo yako ndipo utakapobadili ID. Engineer kitu gani?
Wee unawaza upuuzi tu Mara zote embu jikeep busy achana na mambo ya kujilipua!unions hayo mawazo yanakujia tafuta kaz ya kufanya dhen utaacha kabisa!!!!
ngumu mno. wengine mafesti lavu walikuwa mabaamedi lakini kuna siku wanavuruga kichwa.
Hahahaaaa!! Mie first love wangu ni mpenzi wangu wa pili na kamwe siwezi kumsahau, na mbaya zaidi ni hakuniumiza.
Unauliza engineer kitu gan???
Waulize MADEM wenzio profesional zipi Hapa BONGO wanashobokewa sana na MADEM...
Zipo tatu tuu... Madaktari, Wanajeshi na Engineers..
Kalagabaho na ujuha wako sasa..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
He is no more.Mkuu unamaanisha huwa unachepuka nae au imekaaje hii?
Amen[emoji120]Ooh, sorry to hear that my dear