Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Ahahahah ndugu yng kama dem anakuomba hela ni bora kuliko asiekuomba hela sasa hela anapata wp kwa mzazi wake kama anafanya kaz sawa
 
Deni la kuwarizisha wanawake kitandani lazidi kuongezeka, hebu acha punyeto itakuharibia, sasahivi unaweza usione madhara yake lkn utakapooa utajuta maana utakuta mke anahitaji kufkishwa hlf ww huwezi.
 
NDIO MAANA NAKWAMBIA WEWE NI BOYA....
UMEKUBALI SASA.......
Maana nisije nikakubanjua na wewe buree....
Mie mtu hatari sana.... Ogopa mtu anaeitwa Engineer..... HATARI!!! KAA MBALI.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Geniveros natamani nimpate kama wewe angalau hata ka mwili katarudi kwa kupendwa mweeh wengine sijui tuna gundu maana unaoenda baafaye unatendwa.
 
NDIO MAANA NAKWAMBIA WEWE NI BOYA....
UMEKUBALI SASA.......
Maana nisije nikakubanjua na wewe buree....
Mie mtu hatari sana.... Ogopa mtu anaeitwa Engineer..... HATARI!!! KAA MBALI.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Siwezi kukukubali wewe huna staha ya kuweza hata kunisogelea. Yaani hata usimame mita 1000 ni ngumu kunifikia. Kifupi huna hadhi. Keyboard zinatuficha TUU au niseme tumejificha nyuma ya keyboard. Read between lines!!!!!!!
 
Bado unadhihirisha UBOYA wako... Umeona mwenyewe??????

Tofautisha "UMEKUBALI" na "UMENIKUBALI"

Ulicho kiandika ni nonsense sababu huja elewa hata tofaut ya maneno hayo mawili....

ANDIKA UPYA TAFADHALI.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ego mbaya sana. Ukimuacha mtu huhitaji kujieleza sana na kusisitiza kuwa ni wewe ndiye uliyemuacha. Ngoja nimtafute V nimlete hapa aseme mambo yako ndipo utakapobadili ID. Engineer kitu gani?
 
Ego mbaya sana. Ukimuacha mtu huhitaji kujieleza sana na kusisitiza kuwa ni wewe ndiye uliyemuacha. Ngoja nimtafute V nimlete hapa aseme mambo yako ndipo utakapobadili ID. Engineer kitu gani?

Unauliza engineer kitu gan???
Waulize MADEM wenzio profesional zipi Hapa BONGO wanashobokewa sana na MADEM...
Zipo tatu tuu... Madaktari, Wanajeshi na Engineers..

Kalagabaho na ujuha wako sasa..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Reactions: Pep
Wee unawaza upuuzi tu Mara zote embu jikeep busy achana na mambo ya kujilipua!unions hayo mawazo yanakujia tafuta kaz ya kufanya dhen utaacha kabisa!!!!
 
Wee unawaza upuuzi tu Mara zote embu jikeep busy achana na mambo ya kujilipua!unions hayo mawazo yanakujia tafuta kaz ya kufanya dhen utaacha kabisa!!!!

Una Maana gan unapo sema "unions" mzee...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hahahaaaa!! Mie first love wangu ni mpenzi wangu wa pili na kamwe siwezi kumsahau, na mbaya zaidi ni hakuniumiza.

Mkuu unamaanisha huwa unachepuka nae au imekaaje hii?
 
Ni ngumu kumsahau mpenz wako,hata kama inatokea mnakosana lakini kurudiana ni rahisi,demu wa ujanani hasaulik,cha muhim ni kuwa unampa vipesa vidogo hata mara moja moja si mbaya,il usizid kuumia,mi ninaye wa kitambo toka kidato cha pil mpaka sasa,japo nipo naye mbal na huwa tunazinguana lakin baadaye tunaelewana,kama sasa tumezinguana na hatuna mawasiliano naye ila siku nikiamua tunaelewana,hilo halinip shida,kwa hiyo mkuu kaz kwako
 
Unauliza engineer kitu gan???
Waulize MADEM wenzio profesional zipi Hapa BONGO wanashobokewa sana na MADEM...
Zipo tatu tuu... Madaktari, Wanajeshi na Engineers..

Kalagabaho na ujuha wako sasa..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…