Mazembe Out de la ligué Champions

Mazembe Out de la ligué Champions

Mk54

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,996
Reaction score
3,950
Tout Puissant Mazembe Out !

Le Mihayo est éliminé

Le Miracle n'aura pas Lieu -

Miujiza haina nafasi. Kwa mara ya pili mfululizo Mazembe inaishia katikati ya Michuano ya Klabu Bingwa Africa .

Le TP Mazembe s’est imposé 1-0 ce samedi au retour dans son jardin du Kamalondo, mais ce succès est insuffisant pour renverser la vapeur et les Corbeaux de Lubumbashi sont éliminés en quarts de finale de la Ligue des champions.

Goli moja halikutosha kwa Mazembe kuendelea, hence sont éliminés en 1/4 de finale.

Nadhani kuna haja ya hizi klabu za Simba na Yanga kujitafakari.

Mpira sio mchezo vinginevyo wataendelea kujifurahisha na utani wao. Vijana wa Simba siku hizi wapo focused sana na Caméra za social media kuliko uwanjani.

Pia Hawa wawekezaji wetu uchwara kama Mo wajitafakari; sio kuweka vijibilioni nne na kuanza kulia lia kama looser.

Wafanye Investment ya maana kama wanataka to make a difference.
 
hiyo ligi tuwaachie wenyewe, sisi tukomae na ligi yetu ya bongo, huko si mchezo hatukuwezi
 
Ni Investment tu kaka. Sasa ikiwa Mo anasusa kisa timu inafungwa na yeye kaweka vijisenti unadhani vipi hapo
 
hiyo ligi tuwaachie wenyewe, sisi tukomae na ligi yetu ya bongo, huko si mchezo hatukuwezi

Huko kwa watu wanaojua mpira ata mpira wao ukiangalia unaona kabisa huu umeenda skonga... Ata analyzing those matches unaenjoy.
 
Sure, hapa kwetu ni ujanja ujanja
 
Sure, hapa kwetu ni ujanja ujanja

yaani sie ujanja mwingi sometimes unaangalia mechi dakika 10 - 15 unachoka unaona bora niingie kwenye mtandao nitafute mechi ya atalanta anagalau nitajifunza kitu kutoka kwa gasperini...mzee wa funga nikufunge
 
Le Mihayo et Charles Out !

Kocha Mkuu na Msaidizi wa Mazembe Sont remplace !

Ila Yule jamaa aliyekosa Penalty Mimi namuita Bocco Haram!

IMG_1394.JPG
 
Tout Puissant Mazembe Out !

Le Mihayo est éliminé

Le Miracle n'aura pas Lieu -

Miujiza haina nafasi. Kwa mara ya pili mfululizo Mazembe inaishia katikati ya Michuano ya Klabu Bingwa Africa .

Le TP Mazembe s’est imposé 1-0 ce samedi au retour dans son jardin du Kamalondo, mais ce succès est insuffisant pour renverser la vapeur et les Corbeaux de Lubumbashi sont éliminés en quarts de finale de la Ligue des champions.

Goli moja halikutosha kwa Mazembe kuendelea, hence sont éliminés en 1/4 de finale.

Nadhani kuna haja ya hizi klabu za Simba na Yanga kujitafakari.

Mpira sio mchezo vinginevyo wataendelea kujifurahisha na utani wao. Vijana wa Simba siku hizi wapo focused sana na Caméra za social media kuliko uwanjani.

Pia Hawa wawekezaji wetu uchwara kama Mo wajitafakari; sio kuweka vijibilioni nne na kuanza kulia lia kama looser.

Wafanye Investment ya maana kama wanataka to make a difference.
Tutolee upuuzi wako
Umekuja kutoa taarifa au kuongezea ujinga wako!!
 
Back
Top Bottom