Mazen Ahmad Mkuu wa Police wa Hamas, Auawa na Majeshi ya Israel

Mleta mada mbona kama umefurahia kwa namna flani ya kejeli hvi
Nimefurahi sababu jamaa anawahi Bikra 72. Sema naona wivu atachagua watoto wakali sana. Sisi wengine sijui tutapata nini.
 
Sasa Eid zote yeye atakuwa akila pilau peponi na akina Jibriiili
 
Israeli akiendelea hvi..huko kwa mnyazi nungu hakutakalika kwa viliio vya Bnt zenye macho yakungu.. zikitolewa bikra na hizigaidi zimetoka huku zikiwa na kipururu zikifika nikupasua tu
 
Naona sasa hivi jf imegawanyika pande mbili marepota kutoka upande wa hamas na maripota kutoka kwa israel good news ni kwamba kila upande unataka kuonekana inashinda mechi zake
 
Naona sasa hivi jf imegawanyika pande mbili marepota kutoka upande wa hamas na maripota kutoka kwa israel good news ni kwamba kila upande unataka kuonekana inashinda mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…