mazengo shule ya msingi au sekondari? Mana kwa ile ya seköndari imegeuzwa na kua chuo kikuu [st john's univer].
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?
Nakumbuka chimbo la ukweli Sudan(napata stimu) naingia beach then napanda ng'ambo,mi nilikuwa miaka ya elfu2, cwez sahau tatizo la maji nimeteseka sana na PE (P umbu Erosion)
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?
Wakuu mmenikumbusha mbali sana lakini ofisi ya SBM ilikuwa balaa chini ya Kibona miaka ya 2000. Nakumbuka nyuka(uji) saa 11 alfajiri ebwana ee jamaa mmoja nusura avunje mguu na kitu cha gima mchana kimekaaje. Nakumbuka mengi sana akiwemo mwl. Tembo wa motor vehicle mechanics balaa nani anamkumbuka Unyama unyama?
Umenikumbusha wakati huo wa kunywa uji usio na sukari kisa serikali ya kifisadi imefulia (tulikuwa tunauita huo uji bogota) na kula maharage yenye wadudu weusi na weupe 1993-1996
asante mkuu kwa kukumbuka ulikotoka
msalato vs mazengo disco...ajahajahajahajgajgajgaj