mazengoooooo!

mazengoooooo!

sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?
 
mazengo shule ya msingi au sekondari? Mana kwa ile ya seköndari imegeuzwa na kua chuo kikuu [st john's univer].
 
Umenikumbusha wakati huo wa kunywa uji usio na sukari kisa serikali ya kifisadi imefulia (tulikuwa tunauita huo uji bogota) na kula maharage yenye wadudu weusi na weupe 1993-1996
asante mkuu kwa kukumbuka ulikotoka
 
Nakumbuka chimbo la ukweli Sudan(napata stimu) naingia beach then napanda ng'ambo,mi nilikuwa miaka ya elfu2, cwez sahau tatizo la maji nimeteseka sana na PE (P umbu Erosion)
 
mazengo shule ya msingi au sekondari? Mana kwa ile ya seköndari imegeuzwa na kua chuo kikuu [st john's univer].

mazengo complex mkuu,sec!achana na ile primary,maujanja hayakuwepo bado!
 
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?

Mkuu umenikumbusha mengi sana ikiwa na rafik zangu O.Mbga na J.Jumbe na Teacher A.Tembo
 
Nakumbuka chimbo la ukweli Sudan(napata stimu) naingia beach then napanda ng'ambo,mi nilikuwa miaka ya elfu2, cwez sahau tatizo la maji nimeteseka sana na PE (P umbu Erosion)

dah,hiyo PE c mchezo,unakumbuka inspections za hatari siku za j'mosi?
 
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?

Ah! ah! ah! nimekumbuka siku moja tukiwa tumepoz na ma mate akatokea dem na kichanga akamtupia dent wa kidato cha 2 miiguni halafu yeye akasepa zake!
 
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?

Hizi mitu sijui zikwapi-Karenga,Kisembe kampan yangu ya jmos Uhindiniiii
 
MAMBO YOTE ILIKUWA wasomi wa evening school...watu walikuwa wanateseka sana na visomi vya evening vya 'o level
 
vp mnayakumbuka yale mavyoo ya kukoroga jameni pale jirani na BWENI LA MWONGOZO?
Siku za jumamosi ilikuwa ni balaa sana!...Usafi wa kifo unafanywa, na Ukaguzi wa kutisha!...kuna watu walikuwa wanajifungia bwenini na kulala kwa kuogopa ukaguzi!.
 
watu walikuwa wanagonga soka vibaya mno,akina shimi,ramadhani(nyau),moris,kiembe,omari,msudan,daah,it was cool
 
Wakuu mmenikumbusha mbali sana lakini ofisi ya SBM ilikuwa balaa chini ya Kibona miaka ya 2000. Nakumbuka nyuka(uji) saa 11 alfajiri ebwana ee jamaa mmoja nusura avunje mguu na kitu cha gima mchana kimekaaje. Nakumbuka mengi sana akiwemo mwl. Tembo wa motor vehicle mechanics balaa nani anamkumbuka Unyama unyama?
 
jamani,hata hamkumbuki msazengo!afu mkumbushane mlikuwaga mnakuja disco/buggy wengine wamefunga suruali na kamba za mgomba na chupa za konyagi mfuko wa nyuma,hahaha!
 
Wakuu mmenikumbusha mbali sana lakini ofisi ya SBM ilikuwa balaa chini ya Kibona miaka ya 2000. Nakumbuka nyuka(uji) saa 11 alfajiri ebwana ee jamaa mmoja nusura avunje mguu na kitu cha gima mchana kimekaaje. Nakumbuka mengi sana akiwemo mwl. Tembo wa motor vehicle mechanics balaa nani anamkumbuka Unyama unyama?

unyama unyama,akiwaa zamu ni balaa,asubuhiiii,yupo bwenini!watu weweeee,mke wako mbayaaaa!
 
msalato vs mazengo disco...ajahajahajahajgajgajgaj
 
Namkumbuka bedui Msasa aliwahi kuwambia wanafunzi wazoe mikojo iliyokojolewa usiku pale ng'ambo kwa mikono then usiku vijana wakajibu mapigo kwa kukata miti yote iliyopandwa nae.Vurugu iliyosababisha HP kufukuzwa .
 
Umenikumbusha wakati huo wa kunywa uji usio na sukari kisa serikali ya kifisadi imefulia (tulikuwa tunauita huo uji bogota) na kula maharage yenye wadudu weusi na weupe 1993-1996
asante mkuu kwa kukumbuka ulikotoka

Zengo Complex! Unamkumbuka mzee Shedi sio eeeeh!?

Enzi hizo unasoma ukijua utapata division one au two. Then wakaleta day ya wasichana.....zero nazo zikaingia.
 
kuna vikuyuuuu!wala boda,form one hushibiiiii!akikatiza mdada anga za ujamaa enzi msala atazomewa vibaya mno
 
Back
Top Bottom