Mazeru Karate

mwl mazeru

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
53
Reaction score
47
Mazeru karate, is unique self defense system,that combines the techniques of karate, ju- jitsu, Kung Fu and other combat systems. These techniques is a simple and effective for self protection.

Mazeru karate is designed to teach Real self defense in two years.

Students learn how to defend against common attack, such as punches, kicks, holds and chokes.

Also learn how to defend against weapon, such as club, knife, pistol And rifle. Mazeru karate is a system of practical techniques and strategies that enable a person to deal with the Treat of enemys in real fighting situation.

 


Made in where???
 
Location Kaka wapi. Ndo vitu vyetu hivyo
 
Kwanini kara te siyo maarufu kama boxing?
 
Hakuna self defense itakayoioiku KRAV MAGA.

Mtu akijifunza karate miaka 2 na mwingine akajifunza krav maga miez 6, huyu wa krav maga atakuwa fiti zaidi ya wa karate.

Kwenye karate wanapoteza muda mwingi kujifunza vitu ambavyo yavitumiki katika real street fighting Kama kata, Mara mazoez ya kupanua misamba ili uweze kurusha mateke ya juu zaidi.

There are no katas to learn in krav maga
In krav maga we recommend low kicks
 
Krav maga ,ni mchanganyiko wa mbinu za karate,Kung Fu,judo nakadhalika. Hakuna mchezo Bora duniani kuliko mwingine ,ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
 
Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.
 
Krav maga ,ni mchanganyiko wa mbinu za karate,Kung Fu,judo nakadhalika. Hakuna mchezo Bora duniani kuliko mwingine ,ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
Krav maga, yenyewe inaitwa ,amerikan karate, nayo ni karate tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…