Mazeru Karate

Mazeru Karate

Tupo kisheria, vibali vyote tunavyo. Naserikali inafahamu uwepo wetu nchini .kazi yetu nikufundisha self defense , illa kwa wasiotuamini, pia tunawaonesha uwezo wetu kwa kupigana nao.


By: martial artist . Mazeru.
Hauna uwezo wowote ule
 
Njoo, ujaribu uwezo wako. Labda upo fiti. Mimi natoka kigoma wewe je?.
Mazoezi ya kupigana ndio kazi yangu
Na ndio Njia ya maisha yangu. Sina kazi zaidi ya kufundisha mbinu za kujihami.
 
Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,
Wacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.

Nina mashaka.
 
Wacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.

Nina mashaka.
Wapo humble kweli na wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu na kumheshimu kila mtu, ila watu wa humu wanamletea kejeli huyu mdau na ndio mana anataka wamtafute akawathibitishie. Halafu sio kama ni ugomvi ni mapigano tuu ya kawaida ambayo hata kwenye mafunzo yapo.
 
Hakuna self defense itakayoioiku KRAV MAGA.

Mtu akijifunza karate miaka 2 na mwingine akajifunza krav maga miez 6, huyu wa krav maga atakuwa fiti zaidi ya wa karate.

Kwenye karate wanapoteza muda mwingi kujifunza vitu ambavyo yavitumiki katika real street fighting Kama kata, Mara mazoez ya kupanua misamba ili uweze kurusha mateke ya juu zaidi.

There are no katas to learn in krav maga
In krav maga we recommend low kicks
vipi kuhusu muntay?
 
Mimi mazeru nashangaa Sana kuona ,watanzania wengine wanakuwa mambumbumbu, wakati kama isingekuepo karate, judo, aikido, wrest ling na taichi, iyo krav maga, au kwa kingereza contact combat, isingekuwepo, kwa sababu wao wenyewe waisraili wanaheshimu
Sana nawanaamini Sana mafundisho ya karate na Sanaa nyingine zote za mapigano. Na ndio maana wao walichukua mbinu hizohizo ambazo nyie wakosa akili mnazozizarau , wakazichanganya, Kisha wakazipa jina la utambulishi ambayo ndio krav maga. Lakini mbinu ni zilezile . na ndio mnazojifundisha kwenye krav maga. Sisi tunaofahamu
Ndio tunawajuza Sasa amkeni na muache dharau . Sanaa zote za mapigano ni Bora , ila wewe muwakilishi wa Sanaa hiyo ndio unaweza kuwa mashuhuri au kibonde tu, nahii inatokana na juhudi zako binafsi za kujifundisha .[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom