Mimi mazeru nashangaa Sana kuona ,watanzania wengine wanakuwa mambumbumbu, wakati kama isingekuepo karate, judo, aikido, wrest ling na taichi, iyo krav maga, au kwa kingereza contact combat, isingekuwepo, kwa sababu wao wenyewe waisraili wanaheshimu
Sana nawanaamini Sana mafundisho ya karate na Sanaa nyingine zote za mapigano. Na ndio maana wao walichukua mbinu hizohizo ambazo nyie wakosa akili mnazozizarau , wakazichanganya, Kisha wakazipa jina la utambulishi ambayo ndio krav maga. Lakini mbinu ni zilezile . na ndio mnazojifundisha kwenye krav maga. Sisi tunaofahamu
Ndio tunawajuza Sasa amkeni na muache dharau . Sanaa zote za mapigano ni Bora , ila wewe muwakilishi wa Sanaa hiyo ndio unaweza kuwa mashuhuri au kibonde tu, nahii inatokana na juhudi zako binafsi za kujifundisha .[/QUOTE]