Maziko "Simple" ya Papa Francis ni funzo kwa Watawala wa Afrika!

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu.

2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo

3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu. Status/Mapambio na saluti zina mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…