Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Niliskia tule tu mbwa tuwili tunamsindikiza,ngoja tuone km vitaonekana mbele huko.
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna nasikia mtoto wake ndio kaachiwa ataviangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliskia tule tu mbwa tuwili tunamsindikiza,ngoja tuone km vitaonekana mbele huko.
Kwa kifupi ni hivi: nchi nyingi zilizoendelea wakatib wa mazishi, ule muda wa kumzika marehemu huwa ni faragha ya wanafamilia tu. Hivyo siyo Mandela na Queen tu bali ni utaratibu wa familia nyingi. Kunakuwa na siku ya ''mazishi'' ya watu wote ambapo waombolezaji hukutana na kunaweza kukawa na siku nyingine au siku ile ile lakini muda tofauti ambapo mwili wa marehemu huzikwa huku familia pekee ikishuhudia. Siyo kama huku kwetu ambako siku ya kwenda makaburini ndiyo wanakuja waombolezaji wengi na wote hushiriki kwenye kuzika.Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika.
Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki kuanzia msiba unaanza mpaka mwishoni tunaambiwa ndugu wa karibu na wanaohusika tu ndio wanamaliza. Sasa sie wananzengo tumebaki na maswali mengi mno kuhusiana na maziko ya wafalme, malkia. machifu na watemi wa huku kwetu.
Hadithi zetu za kale zilitwambia mfalme anazikwa na watu wa kumsindikiza na kumshikilia kaburini tena wakiwa hai vijana mashababi na mabint chuchu konzi. wahistoria mnatuambiaje Malkia kazikwa peke yake au kuna waliomsindikiza vipi siku hizi mbona inafichwa wakati zamani walikuwa wanahadithia.
Aliyetizama sinema ya shaka Zulu atanielewa na maanisha nini, lakini marehemu mzee wangu wakati akinipigia story za kwao unyamwezini watemi wao huko walizikwa na watu. Ukiungalia msiba wa malkia pasi na shaka taratibu zoote za maziko ya kale ya kifalme zilifuatwa ila mwishoni ndio watu wa karibu tu wamemaliza.
Ebu tukumbushane na kujuzana zaidi, JF ndio kwenye elimu yote nafungua mjadala hili hawa vijana wa 2000 waone tulipotoka.
Je na yule bebelu alikua wa kazi ganiulaya hawana upuuzi huo
Mmh haya tuamini hivyo 🙃[emoji23][emoji23][emoji23]hamna nasikia mtoto wake ndio kaachiwa ataviangalia