Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

Kwa kifupi ni hivi: nchi nyingi zilizoendelea wakatib wa mazishi, ule muda wa kumzika marehemu huwa ni faragha ya wanafamilia tu. Hivyo siyo Mandela na Queen tu bali ni utaratibu wa familia nyingi. Kunakuwa na siku ya ''mazishi'' ya watu wote ambapo waombolezaji hukutana na kunaweza kukawa na siku nyingine au siku ile ile lakini muda tofauti ambapo mwili wa marehemu huzikwa huku familia pekee ikishuhudia. Siyo kama huku kwetu ambako siku ya kwenda makaburini ndiyo wanakuja waombolezaji wengi na wote hushiriki kwenye kuzika.
 
Kila jamii ina utaratibu wake sioni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…