Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

Who is manyembe, DSM we are not cowardice like ttwtmmmmmmmmmmm
 
Yaani mange anahitisha maandamano ya kulikomboa taifa hakuna anaetoka,, ila maandamano ya wahuni watu wanatoka 🤭
 
Leo ndio mmeona umuhimu wa police..si mnawatukana kila siku humu?
 
Kabisa aunt yakeeee hatareee sanaa huyu jamaaa kawe ana majinazaidi ya SITA..akikamatwa wiki yuko mtaan ANAKUJA na style mpya WANANCHI wakachoka woii
Sasa hii nchi ifanye serious ulinzi wa raia na mali zao.
 
Acha kutetea uovu,mtu anakamatwa wiki tu amesharud mtaan na anaendelea na uovu wake,anastahili alichokpata
 
sasa wewe DIDY msibani kwa kibaka unaenda kufanya nini? au na wewe ni mwanausalama?😳😳😳😳
 
Wavulana wa dar bhana mnapenda kulia lia sana yaani hao wahuni wavuta unga wasio na nguvu mnawaogopa hivyo!!!!!
 
M

PWA NA CHEPE KABISA WAMMENUNUA
WAKIJARIBU WANNAMALIZA WANAZIKA WENYEWE KABISA VIJANA WAMECHOKA KABISA MPWAA DOH
Wanaume wa darasalamu katika ubora wenu.
 
CC ..Kamanda IGP Sirro
CC ..Kamanda Kanda Maalum Mambosasa
 

Ungewaambia pana wana chadema wanalenga maandamano ya amani wangekuelewa mkuu Sean Combs!

Fikiria ku edit mkuu kwa msaada zaidi.
 

Kwa kiingereza hiki wewe unaishi ushuani,hujui adha ya mitaa yetu ya uwahilini.

Kwa kiingereza hiki wewe ni mwenye nyumba iliyozungukwa na walinzi pamoja na makamera kila kona.

Kwa kiingereza hiki,wewe unatembea na bunduki
 
Mtoa mada angefafanua uyo minyembe ndo nam kifo chake ni nn? Na ana umaarufu gan wahuni pande zote waje?
Uzi wake upo humu, mtafute huyo huyo Pdidy kwenye nyuzi zake za wiki hii hii utaipata ya wadifu wa marehemu
 
Kwa kiingereza hiki wewe unaishi ushuani,hujui adha ya mitaa yetu ya uwahilini.

Kwa kiingereza hiki wewe ni mwenye nyumba iliyozungukwa na walinzi pamoja na makamera kila kona.

Kwa kiingereza hiki,wewe unatembea na bunduki
Ya Kawe mkwamani, bondeni kule hayajui huyu eh?
Hii mboga saba pande za mbezi beach ukishavuka mto Kawe😂😂
 
Wacha hizi maneno mtoto wa masaki wewe

Hivi unawajua vibaka kweli?
 
Sio wote humu wanauelewa kama wako. Wengine wanaandika tu. Huu ni mwendelezo wa alichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…