Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Snitches get stitches
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamume WA Dar anaogopa hata kutazama kaburi la Minyembe.mtoto mmoja tu kawasumbua kawe muda wote huo na bado amekufa ila bado mko na hofu, wanaume wa dar, wanaume wa dar, wanaume wa dar nimewaita mara tatu, jitafakarini. Akija chalii mmoja tu wa arusha mtahama mkoa kabisa.
Nikweli kwa sababu ameandika akiwa ktk hali ya taharuki. Mhuni siyo mtu na kama ni mtu jua ni Mtu-M-Bad.Mkuu tunashukuru kwa taarifa
Lakini bandiko lako hakuna hata kituo? wala nukta?
Au ilikiwa unaandika huku unakimbizwa na hao wahuni waombolezaji?