Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

Kuna kulea upumbavu hapo utadhani wapo ndani serekali yao kwanza ipo haja hao asikari waliopo karibu na hilo eneo wakabadilishwa wote bila kuacha hata mmoja how washenzi wanapata nguvu namna hiyo kama wametoka umbali mrefu namna hii posibly hao ni wakuu wao wa mikoa kiuhalifu kwa maeneo husika
 
"Wanamme wa Dar bhaana ,huko kawe kuna wanaume kweli??Yaani ka kikundi kadogo kwa mateja mnashindwa kuwadhibiti mnataka kulisumbua jeshi la polisi."- Alisikika Mlevi mmoja wa Kikurya toka Musoma.😂😂😂😂😂
 
Nini chanzo cha kifo?
 
Maoni mazuri ila siyo kwa nchi ambayo vituo vya polisi vinafungwa saa kumi jioni na inaonyesha hujawahi ibiwa.
 
Wanajifanya wauni watu tuliacha miaka ya tisini.

Wakileta ngebe ueni tena hata watatu wakazike tena.
 


People have become desperate, as many die hard robberies are ussually evicted from police cells once taken there for crimes they commit; enouhg is enough so say the robberies victims ---leading to mob justice.
 
Ni aibu mnakaa kulia lia kama wenyew wamepanga kuleta fujo na nyinyi mnajipanga inakua moto kwa moto kawe mko vipi yani nimetaman kesho nam niwepo eneo la tukio nione kuku anaenisogelea
 
always crime does not pay,you get what you deserve....
 
Tatizo chips yai.
 
Ungewaambia pana wana chadema wanalenga maandamano ya amani wangekuelewa mkuu Sean Combs!

Fikiria ku edit mkuu kwa msaada zaidi.
Hahahaha ,ngoja nikajichanganye Kawe Nina vijana wangu pale

pia kuna msiba wa msela ( kishandu ) mwingine Morocco pale
 
WE MWEHU HUJAWAHI INGILIWA NA MAJAMBAZI WEWE..JUZI MTAANI WAMEMPIGA NONDO YA KICHWA MZEE NA KUMKATA MKONO MWANAE HADI MZEE KAFA...AISEE WAKIINGIA ANGA ZANGU NI KIBERITI TU HADI WAISHE..HATA VITABU VYA DINI VIPO WAZI KATIKA HILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…